Search results

  1. A

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Namna ya hao watu ni mfano wa ibilisi na malaika zake, wao ni waongo ndio maana huibishia iliyo kweli,
  2. A

    Tetesi: Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon

    Na iwe hivyo, ameshaiaibisha nchi akiwa rais, asije akatuaibisha kidunia pia, atulie na uzee wake hukohuko msoga, hao si wanajua ni rahisi kumtumia kuwadanganya waafrika wenzie, tangu lini mzungu akupe nafasi wewe mtu mweusi umuongoze!
  3. A

    Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    Ndio ujue kuwa watu mara nyingi wanakuchekea wanapoona wewe upo chini, lakini utakapojaribu kunyanyuka ndio utajua anae kuchekea toka rohoni ni nani hasa! Hao mashoga wameona jinsi magu alivyoimpact akili za watu duniani, kiasi cha kuelekea nchi za mbali kama nigeria kujifunza kwetu! Wanajua...
  4. A

    Wakati Marekani kupitia MCC, China wajipanga kuwekeza kwenye Sekta ya Nishati nchini

    Kwa waliokuwa wanalipwa milioni 40 kwa mwezi ni lazima mlalamike mashoga wenzenu kuzuia misaada! Ila sisi wa malaki hatuna shida tunaanza maisha na moja, uchumi ushahamia east asikuambie mtu, jamaa wa west zama zimefika mwisho tena, japo si maanishi kuwa wachina, wahindi, wavietnam, wajapan etc...
  5. A

    Msimamo wa wana CCM juu ya MCC ni dharau na udanganyifu kwa walipa kodi

    HII NI DALILI YA MAREKANI KUWA MASIKINI, WAO WENYEWE WANAHAHA NA UCHUMI WAO, WAMEBAKIZA JINA TU, MCHINA AMESHAWAWEKA KWENYE MSTARI ZIMEBAKI TARATIBU ZA KIUCHUMI TU WAWE NEXT TO CHINA, NDIO MAANA MROPOKAJI TRUMP ANADAI KUWA ATAWABANA MATAJIRI ILI KUUPONYA UCHUMI WA MAREKANI, MAREKANI HAWAJIWEZI...
  6. A

    2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

    Ni kwa sababu hatia inakufanya uendelee, hapo dawa si kujiwekea malengo, bali toba kwa MUNGU kwanza kwa sababu hiyo itakufanya ujisikie kiumbe kipya na upate nguvu ya kurudia ujinga, ila usipojisikia umekuwa mpya, hata upange nn, wewe bado ni yuleyule tu, hakika hakutakuwa na kizuizi wewe...
  7. A

    2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

    Tehe tehe tehe he he he,
  8. A

    Nyimbo ya majipu na kushitukiza imezimwa na shitukizo la kwa dk. Mwaka

    Naona ni mapema kucriticize negatively kwani bado mambo yametokea haraka sana kwa muda mfupi sana, na muda wa miezi mitatu hata miwili haujatimia, kuweza kuelewa maigizo na halisia ni ipi na ipi hapo!
  9. A

    2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

    Hilo ni jambo muhimu sana mkuu kama umeshaliona, ni hatua kubwa kwako upo karibu na kuacha nyeto! Hiyo ina maanisha kuwa you did it against yourself, na ulijikataa heshima yako mwenyewe ukajishusha kutenda jambo ambalo ungefikiria vizuri ni kinyume na wewe ungependa watu wakufahamu!
  10. A

    Hakuna kinachodumu milele

    Msemo haufanyi kazi bila wewe kuuamini na kuufanyia kazi mkuu, lakini uangalie tatizo si msemo ni namna kazi unayoifanya kama ina tija ama la, badili shughuli utaona badiliko la kimaendeleo toka chini kwenda juu!
  11. A

    2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

    Wakuu Deshmo na Nyoso, swala hilo ni la kawaida kwa watu wengi japo si wengi sana, ni kujaribu kulikosababisha wakajiingiza huko, ni kama kwa sasa vijana wanavyojaribu ngono za jinsia moja, dhambi mpya hiyo baada ya punyeto! Mm nawashauri mtafakari faida na hasara za kimwili, kiroho na kijamii...
  12. A

    Ushoga Tanzania: 1500 wajitangaza kushiriki mapenzi ya jinsia Moja Iringa

    Si walizani kila fasheni ni ya kurukiarukia tu, makanisani watu wanafundishwa kuwa fasheni zina enda na imani fulani ndio maana hata MUNGU nae ametoa muongozo wa uvaaji kwenye maandiko, sasa wao wakadhani ni ujanja na ujana kumbe wamefuata uvaaji wa mungu fulani, mapepo yamewavaa sasa wanafirwa!
  13. A

    Je TB Joshua alikuwa amefunguliwa na Mungu kwenye Ulimwengu wa kiroho kuhusu yanayotokea nchini?

    Unapomuongelea TB Joshua alivyosusia sherehe za kuapishwa, na ukihusianisha jinsi mafisi-ahadi papa wenyewe wanavyohaha sasa huko lumumbani kwao, unafunua giza zito ambalo halitupi uwezo wa kuona matukio yatakayofuata inji hii! Believe it or not!
  14. A

    Nyumba za NHC hapa mjini kwa serikali isiweke sheria wakapangishwa Walimu Madaktari na M-nurse

    Kumbe huyo fa*l*&a ndio maana anatoka povu, mb#*w kama hao wapo wengi sana duniani, usikute pia wanakamuliwa na hao maponjoro hawa wanao dharau wabongo weusi,
  15. A

    Miss Tanzania atajwa ufisadi wa 1.3 trilioni

    Hizo zitakuwa ni taarifa sawa iwapo watakuwa wanaongelea ufisadi kwenye bongo movies ambako ndiko wanakopata riziki zao, mwenzao shose alisoma na kuajiriwa stanbick so amepiga deal kwenye mfumo, sio hao mastaa wa siku hizi kitabuless!
  16. A

    Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!

    Faili lako halionekani ,unajipiga mfukoni kutoa hela yako ndogo ambayo kama ni mfanyakazi imekatwa kodi hata nyumbani haitoshi na kama ni mfanyabiashara ama mkulima huko nako mambo magumu ,faida haitoshelezi, unatoa hongo unabakiwa na nn mfukoni! Bora rushwa iishe ili wenye mapato madogo nao...
  17. A

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Haya mambo huwa yampito mkuu, kabla ya walimu kupata ajira mojakwa moja ilikuwaga sekta nyingine kama sheria na nyingine huko wakaajiriwa wakajaa siku hizi nao hawaajiri moja kwa moja, imekuja kwenye elimu nao sasa hao wa art wameshajaa, bado wa science tu ndio wanadtahili kupata ajira moja kwa...
  18. A

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Unajua hata baraza la mawaziri ndio maana kadelay kuwataja japo anao, maana sio wote wataweza kutekeleza maagizo haya nadhani kuna vitu anaweka sawa mwenyewe kwanza,
  19. A

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Tehe tehe tehe, ikhi hii hii hii, ihiii, subiri:D:D:D:D:D
Back
Top Bottom