Search results

  1. A

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    Ndio maana Iran waliita Saudi Arabia taifa la kigaidi sababu matendo wanayofanya hayana tofauti na Isis na alqaeda kama kuchinja hadharani. hata mafundisho ya imani kali zinazopelekea ugaidi yameanzia Saudi arabia.
  2. A

    Ndege Ya Tanzania, Ngazi za Kenya Airways

    nakumbuka kipindo hicho Kenya airways walikuwa na MacDonnell Douglas dc-9 Tanzania tulikuwa na boeing 737. mbili kilimanjaro na serengeti.aina hii ya boeing Ni maarufu Sana duniani kama sio ufisadi atc tungekuwa mbali sana
  3. A

    Mapokezi ya ndege mpya ya ATCL eneo la Terminal One-JNIA

    Nakumbukia legendary the wings of Kilimanjaro B 737. Atcl waagize tolea jipya la b737 , hii ndege Ni most popular in the world Ina record nzuri kiusalama
  4. A

    Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Katikati ya dunia kwenye core Kuna joto kali Sana, hivyo Kuna movements nyingi za lava(uji)na force inapozidi na Ku erupt ndio mtikisiko unafika kwenye uso WA dunia. wataalamu wanasema matetemeko yapo kila siku ILA mengi huwa madogo Sana kwa magnitude wakati mungine huwezi kuyasikia. ndio maana...
  5. A

    Mahakama Yazuia NHC kupiga mnada mali za Freeman Mbowe

    Nhc ilikuwa hoi kipindi hicho ikasaidiwa biashara Leo wamezinduka wanamdharau aliyewafundisha biashara ya kiushindani ama kweli Ni maajabu makubwa
  6. A

    Mdalasini hupunguza uzito, unene na mafuta mwilini

    Kuna jamaa yangu ameniambia ametumia magamba ya mdalasini ndani ya wiki moja mpaka wiki mbili akapungua kilo tatu. Hivyo nimeona Ni shirikishe wengine wenye shida ya kupungua uzito na mafuta.
  7. A

    Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    Precision air walizikodi hizo boeing?
  8. A

    Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    KQ vilevile mbia mkubwa alienyanyua hilo shirika ni KLM/ AIR FRANCE bila hao KQ ingekuwa ya kifisadi. Ethiopia airlines wao wamejipandisha wenyewe na wanashindana na mataifa ya asia na ulaya
  9. A

    Dar: Ajali mbaya imetokea Mlimani City leo alfajiri

    Pombe Ni shetani ndio maana niliiacha kutumia .Sijui kwanini vile vitu vibaya kabisa vina ushawishi mkubwa katika tawala za dunia hii. 1.viwanda vya silaha 2.viwanda vya bia 3.viwanda vya sigara
  10. A

    Nimenusurika ajali ya Ndege Dubai, ni jambo la kumshukuru Mungu

    labda Tanzania hawaihesabu kama nchi, isupilo nenda kanisani ukatoe sadaka achana na mambo ya kutambika kwenye mifupa
  11. A

    Shujaa kijana ws Kirusi (RUSSIA)

    Huyu komandoo mrusi alijiua huku akifa na wapiganaji kadhaa WA Isis, mpaka waarabu walishangaa mbinu Yao imewamaliza wenyewe.
  12. A

    Nguvu za Giza, Viongozi wa EU washuhudia!

    Hawa ulaya kabla injili ya ukristo haijawafuata walikuwa mapagani wakiishi na ibada za kipagani. Kuna mtaliano aliniambia ECB ndiyo freemason mkubwa kuliko wote. anazidi kuleta umaskini kwa wengi na utajiri kwa wachache
  13. A

    Nauza Shamba Morogoro

    Unauza sh ngapi?
  14. A

    Steph Curry Visits Tanzania.

    Kenya nasikia Kuna flying toilets nafikiri Ni Nairobi kibera. Halafu wakora WA Kenya wanakupaka kinyesi ndio wanakuibia. Mombasa maisha Ni magumu wakiona mzungu wanamkimbilia kama ndio anawatoa kwenye lindi la umaskini.
  15. A

    Uturuki yamwangukia Rais Putin

    Turkey ndio waliomba msamaha kwa Israel baada ya kubwagwa na Russia. Turkey ndio walianzisha mazungumzo na Israel. Wanataka watalii ,teknolojia na gesi kutoka Israel. Turkey kuvunjika uhusiano na Russia kuliiathiri Sana mpaka ikakumbuka kumtafuta Israel, vile vile imeshindwa Ku operate Syria...
  16. A

    Ufaransa nao wadai EU referendum

    Hii Ni faida kwa Tanzania kiuchumi maana gold imepanda dhamani
  17. A

    EU leaders reject informal talks with UK

    hivyo ubaguzi Ni ugonjwa mbaya. Italians nao wanatuona blacks kama monkey. Katika ulaya nawaheshimu Sana French, wanapenda Sana blacks. UK wanajiona bora sababu ilikuwa dola kubwa duniani, kabla ya vita kuu ya kwanza walikuwa ndio super power WA dunia kiuchumi na kijeshi,walikuwa wana uchumi...
  18. A

    Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Hawa wabunge tunawapa ela nyingi wakataniane huko bungeni? Poor bunge
  19. A

    Kwa hili la Mauaji ya Tanga, kuna mtu lazima awajibike

    Sitaki kusema mengi nawaachia viongozi wetu WA ulinzi nchi naamini watayaangamiza haya magaidi kama sio majambazi na yatatokomea Mara moja. nakumbuka Kuna kipindi wasomali walisumbua Kule ngorongoro na kuua kamanda WA polisi jeshi la ulinzi lilipoingilia Kati waliangamizwa wasomali wote...
Back
Top Bottom