MKwa uzoefu wangu,mwanamke wa ndoa kufanya kazi za nyumbani ni kujipanga.My experience nilikuwa na dada wa kazi wakati watoto wangu ni wadogo .Walivyoenda form 1 boarding wote ,niliondoa dada na principle yangu kuanzia wakiwa primary wakiwa holiday dada anaenda likizo na wenyewe wanajipanga na...
Kama unamjua mtu wako ,kila kitu kina sababu kwa nini ameanza kuonga mchepuko.Relax my dear ,focus you can not change or keep a man .Wewe angalia vitu vinavyokufanya uishi duniani (not him) kama kupendeza akikisha unafocus kujipenda ,kufanya kazi kwa bidii otherwise no one is perfect.
Ndoa ni muhimu lakini sio lazima.Mimi kwa uzoefu wangu wa miaka 20plus nimejifunza mengi sana.Mojawapo ni kuwa furaha yako hupati kwa mwenzako kama nilivyokuwa nafikiria ,pia tunaingia kwenye ndoa na matarajio makubwa kutoka kwa kila mmoja wetu.Sasa kikubwa kwenye ndoa ni kupata mtu unae endana...
Kuna siku nilikuta watu wanasubiri mchinja kuku hakuja nikawauliza kwani Kuna mtu mwingine anakuja kula Hawa kuku si sisi wanafamilia tu wakasema ni sisi tu .Nikashika shingo faster nikakata nikaweka maji ya moto.Loo familia wakaa kikao kaka yao asinioe tena mchagga wapi yeye mwenyewe aliwambia...
Pole sana mkuu.Mimi kijana wangu wa kiume yeye alichelewa kuongea pia mpaka.3 or 4yrs alikuwa hata kusema mama hasemi.Tukagundua tatizo ,pia akawa yeye ni kula na.kulala tu cha kushangaza aliyembea akiwa na miezi 9 na pia miezi 10 hivi hajikojolei na haja kubwa anatoa ngua anajisaidia chini.Mimi...
Kutokana kuwepo na dawa za kufubaza ukimwi na watu kumeza na kufuatiliwa kwa karibu na dawa kutolewa bure unakuta ukimwi kwenye mwili wa binadamu au muadhirika umefubaa(Kuna viral load supression) hivyo kumwambukiza mtu mwingine inakuwa haiwezekani au kitaalamu inapungua kwa kuwa virus vimefubazwa
Kwa andiko lako ni kuwa kwa sasa wanaume wanajua kutoa "mbegu" tu na kuwaachia wanawake kulea watoto.Wanaume mnapokojoza mwanamke bila kinga au taadhari ujue kuwa karibu na matokea ya uzembe wako.Mnapokuja kulalamika huku ni kuwa wanaume wanaendelea kupungua duniani na wanawake wanachukua...
Umachinga ni umachinga tu.Approach au jinsi ya kuufanya ndio tunatofautiana kutokana na level ya elimu na uelewa wa biashara.Kuna anayefanya kwa kutandaza chini,kwa kutembeza au kwa mtandao.
Mimi na Masters yangu nilianza umachinga wa kuuza vitambaa na nguo za wanawake bila kampuni.Sasa nina magodown na biashara nyingine.Mimi huwa nawashauri waanze mdomdogo hata kwa kuuza vitu vidogo vidogo ndio vinalipa na ukiwa na displine unafika mbali huku ukijifunza na kuwa supplier mkubwa.Mimi...
Inategemea umachinga unao define wewe ni huu wakutembeza vinguo viwili vitatu barabarani au kuwa na kiduka cha kawaida.Umachinga upo wa hali ya chini,kati na juu.Mimi naona inatengemea unataka kuwa wa juu au kati bado ni applicable kwa mtu mwenye degree kwani hata kuwa agent wa viwqnda vikubwa...
Kuna mambo mengi sana kwa mtu au kijana kutoboa.Wengine ni mazingira aliyokulia au anayokaa kwani upeo wake umefikia hapo na hana mtu wa mfano(role model wake ni hao hao wauza popcone) ,wengine in elimu na exposure kwa sababu kuna watu wanaanzia chini ,anafanya biashara mbalimbali mpaka...
Kwani Tanesco call centre yao huwa inafanya kazi ,mbona wanakuchezesha muziki then wanakata.Jamani sisi wakazi wa mbezi beach Leo tarehe 2 Dec hatuna umeme kuanzia saa 1 asubuhi mpaka sasa sa 1.30 jioni haujarudi huu ni mgao au tatuzo
Kuna wale wana displine na exposure ya maisha.Mimi kuna ndugu yangu kamaliza chuo yeye aliniambia hataki kuajiriwa kwa kuwa ameona mshahara wa graduate aizidi 600,000/= na akikatwa kodi anapata chini ya hapo.So akajiongeza na shughuli za wazazi wake na vijisent alikuwa amedunduliza akiwa chuo...
Wala sijawahi na.sina shida hoyo na sijawahi.Ninapoona waziri.yuko busy.na.vitu havina msingi Kuna changamoto kibao kwenye sector ya mawaailiano internet inasua sua na still very expensive
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.