Search results

  1. shashashaa

    Asilimia kubwa ya wanaume masikini huonyesha mapenzi ya dhati

    Asilimia kubwa ya wanaume masikini huonyesha mapenzi ya dhati atawahi nyumbani mapema kabla ya saa 2, atakushirikisha mambo yake yote, atakua muwazi, atakusaidia kupika, kubembeleza mtoto siku akikosa hata mia atakwambia vumilia mke wangu ipo siku yatapita mkila ugali maharage mtaridhika kifupi...
  2. shashashaa

    Wanaume mliooa badilikeni

    Wanaume mlooa jueni kuzihendo ndoa zenu nyie ndio mmekua chanzo cha kuharibu watoto wetu mnaturudia usiku mkiwa mmelewa, mnatutukana mbele ya watoto mnatupiga nk, mtoto hujifunza baya na zuri kupitia kwa Mkubwa, sasa nyie wababa msipo jitambua nakujiheshimu mnategemea tuwaheshimu kwatabia zenu...
Back
Top Bottom