This is too funny.... By design cookies track you. The sad part, not only on JF, but across multiple websites and apps. This is without no IT work. Add a little weight from Eagle house, and voola....you are naked like swimming in Lake Victoria. So people in TZ, really think they are anonymous...
This is Mumbo Jumbo. You know very well, as the landing/ending point, you are privy to a lot of identifiers. It will take an amateur 2 mins from this critical data, to identify the culprit. By the way, it's a known fact all intelligence services that are competent can gain access to a lot. So...
Ndio sababu huyo kichaa alifukuzwa uwaziri. Yeye akili yake inadhani gharama za miradi mikubwa inalipwa kwenye budget ya mwaka mmoja!!. Certificates za hiyo miradi zinakuwa due step by step, and in about 4-5 years!! When you mix with future loans and The fact that benefits will be for over 100...
Swali rahisi???
1. Mwekezaji ni foreigner
2. TIC certificate ya 5 yr tax holiday (corporate tax) kwa nini hana na mtaji wake ni $2.3M??
3. Business started Nov 2017, so corporate taxes will be 0% until Nov 2022
It looks like, they were not remitting VAT taxes, which by definition is govt money...
January leo kaniacha hoi.
Yaani Serikali ilete kodi bungeni, tena kwenye wizara yake, halafu aseme tumeshindwa bungeni??
January anajua yeye ni naibu waziri au??
Sasa atapinga vipi serikali wakati ndio iloweka hiyo kodi?? Hapa ni moja kubali lawama au jiuzulu.
There is no way to be on both...
Kati ya hao wawili, My vote goes to January. He is a new generation leader, with a vision. He will run the country with result oriented policies! Nawapenda Chadema, lakini kama CCM ndio itashika hatamu, of those 2, Go January!
Kwanza kabisa, nakubaliana 100% na pongezi alizopewa Mr. Mchechu. NHC ni shirika ambalo lazima lijiendeshe kibiashara for at least the next 10 yrs, ili kujenga faida na capital base ya kuanza kufikiria hizo nyumba za bei nafuu.
Huo uozo kwamba mashirika ya serikali ni ya kutoa huduma, ndiko...
Zitto, accountability lazima iwepo, na hii serikali isiyosikia kwa kweli inahitaji kuamshwa. Pinda achape kazi, kama hawezi, apishe watu wenye ability. Mkullo, Ngeleja na wababaishaji wengine lazima watoke. Kigoda apewe MOF, kuinusuru nchi hata kama Jk ana hasira naye za mambo ya 2005. Mawaziri...
Mkuu Willy once again, Congrats.
Kwa kweli sikudhani kama hao watu wenye makundi watakupitisha hizi hatua mbili za mwanzo. Sababu umefanikiwa kupita, kuwa macho sana, and YOU NEED TO CONSOLIDATE votes scientifically now. Usijipe nafasi kabisa ya kurelax, maana kuna watu wana hasira na...
Mkuu Mkandara, hapo kinazungumziwa Diversity, ( Different types kama Tanzanite, diamond, uranium, gold nk) ambayo Mwenyezi mungu ameturehemu kupita kiasi na utajiri ambao tungeweza kabisa kuufanya uwe shortcut ya development ya Tanzania.
Tanzania ni NCHI TAJIRI SANA, Oil na natural gas in the...
Mkuu Mchambuzi, everyone knows what the real issue is. In TZ, the head of state is backed by a constitution that gives him/her almost absolute power. For EL to paralyze the country for his stupid almost maniac quest to be the future president, and JK for no good reason to let him do that, ITS...
Mkuu Mkandara, binafsi I disagree with the thesis framework. In my opinion the thesis should have been " Why is Tanzania rich, but the people do not benefit from its riches"
Haiwezekani nchi yenye Tanzanite ( The only one in the world), Gold ( one of the major producers in Africa), Diamond...
Mwanakijiji, kwa kweli nimempa JK benefit of the doubt kwa muda mrefu kupita kiasi, nikitumia kigezo kuwa the guy is a nice person with a good heart by nature and not a FISADI, lakini kwa kweli sasa hivi nchi imekosa mwelekeo. Hao watu wote kuresign hakuna haja wanatakiwa wawe fired, FULL STOP...
Mkuu Mwanakijiji, I agree the whole leadership @ MOHSW has to go, for clearly mishandling a very simple Intern issue in the beginning which ballooned to the Doctors crisis we have now.
But the MPs POSHO, is where heads really need to roll. PM & Speaker have both lost credibility by paying MPs...
This is just so sad........ Sister Regia your future was so bright and the nation would have been better for it.
Through JF, it was as if I knew U personally. It is God's will and I thank You for all U did for Tanzania.
May God Give Courage to Ur family and Rest Your Soul In Eternal Peace.
Mkuu Hutaki Unaacha, umekosea sana. Ilitakiwa dossier ije kwa pamoja. Hali ilivyo hivi ni hatari sana.
Mkuu hata mimi umeniacha hoi, maana kuna mambo mengi yame make sense kwa haraka. Haya tuone kama kweli JF ni jukwaa huru, Time will Tell, lakini kesho asubuhi corridor pale oysterbay zitakuwa...
Kuna Halmashauri zaidi ya 100 TZ, sasa atamicro manage vipi zote at the same time?? Hii wizara ni ngumu mno, na uchafu wa kwenye Local Govt ni mkubwa kupita maelezo. Amejitahidi sana kufumua hizo halmashauri na kuweka Mauditor na watu wa finance wenye qualifications. Kuna improvements, lakini...
Mh. Jerry Silaa, hongera kwa kazi unayofanya na vile vile kujaribu kujibu hoja humu JF.
Watanzania kwa ujumla wetu tunakabiliwa na tatizo sugu la kupenda sana kulalamika na kujifanya wajuaji wa kila kitu. Yaani sisi, kitu chochote kwetu kimefanywa vibaya sana lakini hatupendi kuangalia kiini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.