Search results

  1. M

    UZUSHI Kim Jong Un awashauri Waafrika waanze kutafuta Dini zao ili waendelee

    Sawa. Lakini hata kama hakusema hivyo, ni kweli kabisa kwamba waafrika dini ni za kuletewa. Hatuna dini zetu zinazoambatana na tamaduni zetu. Tumechukua au tuseme tumelazimishwa dini na tamaduni za watu wengine! Tunaenda kuhiji Yerusalem na Maka! Wahindi wana dini (Hinduism, Sickism) na...
  2. M

    Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

    Vizuri Afrika Kusini wanapeleka majeshi DRC sasa! Huko yataungana ya TZ na Malawi kuwafurusha M23!
  3. M

    Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Kweli yapo mambo mengine yanahitaji ufuatiliaji wa karibu yanyooke katika governance system lakini hili la mfumko wa bei unalizuwiaje. Tuelewe pia kwamba kuna faida zake, saiv wengi wanafikiria au tayari wamewekeza kwenye kilimo kufuatia bei nzuri. Kama waTz hawajaandamana kama wakenya...
  4. M

    Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. Trilioni 1.2 za Miradi ya Maji na Afya

    Umechangia jambo hili kwa uwezo wako mzuri! 🚶🚶
  5. M

    Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. Trilioni 1.2 za Miradi ya Maji na Afya

    Tunahitaji mkopo wa benki ya dunia kuboresha usafi? ...🚶🚶🚶
  6. M

    Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. Trilioni 1.2 za Miradi ya Maji na Afya

    Naungana na wewe katika hili. Hii mikopo hailengi kwenye uzalishaji wa kutukwamua kiuchumi mbeleni bali kutukwamisha kwa kuwa mzigo mkubwa wa madeni huko mbeleni bila kuwa na uwezo wa kulipa kwa kuwa hailengi kwenye kuongeza uzalishaji bali ulaji (consumption) Mikopo inayolenga kwenye...
  7. M

    Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

    Huyo rais was amekaa miaka mingapi kiasi cha kuwazoeza kulamba asali? Watu wenye mawazo kama yako ya kikabila wanatia fedheha sana!
  8. M

    Rais Zelensky aomba mazungumzo na Umoja wa Afrika (AU)

    Mwambieni aende Moscow kuongea ma Putin vita nchini kwake viishe!
  9. M

    SoC01 Tusikifumbie Kiingereza kana kwamba huo ndiyo uzalendo

    Huu nao mchango mzuri sana!🤔
  10. M

    SoC01 Tusikifumbie Kiingereza kana kwamba huo ndiyo uzalendo

    Kifupi, mwandishi ametoka nje ya "context". Mjadala wa matumizi ya Kiswahili kufundishia hauhusu uzalendo au la. Wala matumizi ya Kiswahili siyo kigezo cha uzalendo kama ambavyo matumizi ya Kiingereza siyo kigezo cha kutokuwa mzalendo. Mjadala unahusu matumizi ya lugha ambayo itapandisha uelewa...
  11. M

    Waziri Ndaki amtumbua ofisa msimamizi wa mnada Igunga

    Wizara inahitaji kuweka mfumo wa kidijitali katika masoko yake! Vivyo hivyo katika masoko ya bidhaa za kilimo!
  12. M

    Kifo cha Dkt. Magufuli: Rais wa China Xi Jinping atuma salamu za rambirambi. Asema China imepoteza rafiki wa kweli

    Urafiki baina ya nchi unategemea au unaambatana na maslahi ya nchi husika. Ukizubaa unapigwa, huo ndo ukweli!
  13. M

    Bayume Mohamed Husen: Mswahili aliyeuawa kwenye kambi za manazi Ujerumani

    Pia itabidi tukawatafute waTZ walioachwa huko na huyu mzee! Jamiiforums mtusaidie tuwakaribishe nyumbani!
  14. M

    Bayume Mohamed Husen: Mswahili aliyeuawa kwenye kambi za manazi Ujerumani

    I like this. This and other such stories about tanzanian heroes must be unearthed appreciated!
  15. M

    Wakubwa wa jiji, hali ya uzoaji takataka mitaani hairidhishi

    Uzoaji wa taka mjini hapa Dar umezorota sana. Huku Kimanga wako wanaopita wanakusanya pesa ili wachukue taka. Maeneo ya stendi taka zinakusanywa na kuoza karibu na maeneo yanayouza vyakula, matunda, mboga nk. Kuna tatizo ambalo limejitokeza siķu za karibuni.
  16. M

    Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Je ni aina gani ya nyanya inastahimili maeneo ya joto?
Back
Top Bottom