Search results

  1. tsix

    Wanaume walio kwenye ndoa na wanachepuka mtusaidie

    Kuna wanaume wanachepuka to the extent wanawathamini michepuko kuliko wake na familia zao.. At this point huwa mna expect nini kutoka kwa hao wake zenu mnaowamistreat?
  2. tsix

    Wanaume wenye ndoa

    Jamani hivi kuna wakati unakuwa humpendi mkeo hadi unajuta kumuoa kwa sababu ya mchepuko. Naombeni sababu kwa nini? Why dd u mary her in a first place? kama ulimpenda sana mwanzo how come mwanamke mwingine akubadilishe especially baada ya kupata mafanikio ya kimaisha? Jamani nina maswali mengi...
  3. tsix

    Life after divorce kwa wanawake

    Habari wana MMU.. Nahitaji kusikia kutoka kwa watu wenye experience kama maisha baada ya divorce kwa wanawake yakoje.
Back
Top Bottom