Search results

  1. Hakikwanza

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Kwani wafanyakazi wenyewe wanasemaje?
  2. Hakikwanza

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

    😃Lazima wapo hawezi kua analopoka tu usikute wamemtest
  3. Hakikwanza

    Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Umesema kweli.Akili zetu zimelaluka kwelikweli.
  4. Hakikwanza

    Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

    Umaskini tulionao ni wa akili kichwani kuanzia viongozi hadi wananchi. Bora zilaruke nguo sio akili. Dark country in dark continent
  5. Hakikwanza

    Serikali ya jiji la Dodoma Ondoeni Machinga barabara ya One way na barabara ya Nyerere square

    Sikubaliani na machinga kupanga bidhaa zao kila sehemu. Shida ni sera mbovu za viongozi wetu ndio zimelilea tatizo hili. Nimejifunza hii inchi kila kiongozi anakuja na dira yake; hivyo taifa kama taifa halina dira.
  6. Hakikwanza

    Serikali ingilieni kati kushusha bei ya vitu

    Na ni kweli hawa jamaa inaonekana wanachapisha pesa nyingi
  7. Hakikwanza

    Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Wao wamejikita kwenye ujasusi wa kukandamiza vyama vya siasa na kuachana na ujasusi wa kiuchumi
  8. Hakikwanza

    Serikali ingilieni kati kushusha bei ya vitu

    Na huu ndio uhalisia viongozi wengi tunawahudumia hivyo hawana shida. Shida ni kwetu tunaowahudumia
  9. Hakikwanza

    Serikali ingilieni kati kushusha bei ya vitu

    Ni kweli mkuu mfumuko wa bei ni mkubwa mno sio sekta ya ujenzi ni sekta zote. Kwa kweli ni shida tupu viongozi wapo kimya kizito huku wakijisifu uchumi unapanda na kwamba wao ni wachumi bora. Kazi ipo na uzi kama huu haupati wachangiaji maana wengi wamekuwa makuwadi wa siasa uchwara
  10. Hakikwanza

    Ni kazi ya Mola lakini kwa hiki kinachoendelea Tanzania ni aibu na kituko

    Mambo ya mtu mweusi bwana ni starehe tu.
  11. Hakikwanza

    Kuna uhusiano gani kati ya akili na malezi?

    Angalia kwenye kamusi mkuu sio kila kitu mtu atafafanua.
  12. Hakikwanza

    Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Mimi binafsi sioni shida ya hayo yote ulioyataja. Uhusiano kati ya taifa moja na jingine ni muhimu cha msingi ni kujali maslahi yenye usawa kwa manufaa ya raia wa hizo nchi. Cha msingi ni kuzitazama upya sera zetu za mahusiano na ushirikiano dhidi ya mataifa mengine ziwe zenye kuleta manufaa kwa...
  13. Hakikwanza

    Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

    Lakini Wafanyakazi hata kama tunanjaa ya muda mrefu ya kuongezewa mishahara tuwe na subira. Mama ameingia juzi, corona imepiga uchumi tumwache mama ajipange. Kifupi tumpe muda.
  14. Hakikwanza

    Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Shida ni mfumo wa ajira ulikuwa mbovu na usio makini hivyo ulipelekea watu kuingia kwenye ajira kirahisi bila kuwa na vigezo. Hivyo lawama ni kwa serikali na kwa wote walioingia kwenye utumishi wa uma kwa udanganyifu. Mh Rais kama anawalipa ni vema kwa sababu mfumo uliruhusu udanganyifu
  15. Hakikwanza

    Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

    Pia mfumo wetu wa elimu sio rafiki kwa ajira binafsi
  16. Hakikwanza

    TAMISEMI imefanya vijana wengi waliosoma kudharauliwa na hata kutukanwa mtaani

    Pole sana boss hapo ni kutafuta fursa ya kujiajiri. Na watu bado wanazidi kuhitimu bila kuchakarika unajikuta unajitolea mpaka unafikia umri wa kustaafu.
  17. Hakikwanza

    Kumbe kulazimisha kupitisha Sheria ya Kinga ya Kushtakiwa kwa Spika wa Bunge na Jaji Mkuu, sababu zake zilikuwa hizi?

    Naona umekuja kindaki ndaki ili kulinda na kutetea uvunjifu wa sheria na haki unaofanywa na mamlaka. Mihimili ipo na kila na kila mhimili unatakiwa ufanye kazi kwa mujibu wa katiba ya nchi inavyosema. Sasa naona umekuja na polojo zako kutetea uovu ukichukua reference za Marekani. Uovu ni uovu...
  18. Hakikwanza

    Uchaguzi 2020 Watia nia ya Urais CHADEMA: Mmetangaza nia, mmejipangaje kuyakabili yaliyotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Maana for sure yatatokea hayo au zaidi

    Hii ni kweli kabisa bila tume huru na yenye kutenda haki, kushiriki uchaguzi kwa wapinzani ni kupoteza muda na pesa
  19. Hakikwanza

    Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

    Ngoja na mie nijitwangie bei nyanya zangu
Back
Top Bottom