Search results

  1. Antennah

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Hilo la kutoa pesa kwa ajili ya BOT au
  2. Antennah

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nimeona nije mapema kuwakumbusha nyie Punda wa kwenye mashamba ya mpunga, Leo tunawakanda bila huruma.......tukiwasamehe sana basi tunawatia DUDU hiziiiiii.......Mbili (2), lakini kama POCH akiwaambia madogo ule msemo wa NO MERCY, basi ninauhakika mashabiki wa asenyani (Punda wa kwenye mashamba...
  3. Antennah

    TIC- Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete Iliongoza Kuvutia Wawekezaji, Mitaji na Biashara. Awamu ya 6 ya Samia Yashika Nafasi ya Pili

    Wacha leo nipekue pekue humu magetoni kutafuta nilipoweka kichinjio changu,,,,,,mana naona hizi hoja za namna hii zinazidi sasa.
  4. Antennah

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    basi poa mkuu
  5. Antennah

    Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    1. Jamii intelligence 2. Habari na hoja Mchanganyiko na lile jukwaa la sport, ingawa linakuwaga chachu sana kwangu iwapo simba au chelsea zikifungwa.
  6. Antennah

    Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Hili jukwaa limeanzishwa lini?
  7. Antennah

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Afu fun enough Wazanzibar ndo mara zote wanajifanya kuibua mada za kutuchachafya na huu muungano!
  8. Antennah

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Ifike tu muda tuache kukalazimisha haka kamuungano, kuna angle nyingi sana kanagoma kumatch!!!!! ndo vile tu wanasiasa wanakaforce,,, sijui ni kwa faida ya nani sasa.
  9. Antennah

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Nani alie kwambia degree holders hawaburuzwi kwenye relations/ndoa mjomba? And are you sure wanawake wote wasio na degree wanaburuzwa kwenye relations/ndoa mjomba?
  10. Antennah

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    lakini vipi ni movie nzuri kiasi inavosifiwa mitandaoni?
  11. Antennah

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Hao Equity bank...na kudhurumiwa kote huko bado inaonesha hawakomi kukopesha hayo makampuni. katika list ya mabank wao ndo wamepigwa pesa nyingi saaaana.
  12. Antennah

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Kweli nimeamini ustaa ni mzigo wa mwiba,,Daaah
  13. Antennah

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    mi nimejaribu kuiangalia kidogo hyo part one, haikunivutia kiviiilee,,,,,labda sababu nilikua na uchovu kidogo.....wacha nijaribu tena. hiyo shogun hata kama sijaingalia bado,,,,,,sidhani kama ina maunyama kuzidi GOT
  14. Antennah

    Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

    Une nu ubhushabhiki ndekile, sya kuti abhinangu kila siku bhikunjobha jijuune!!!!! mma ngateele.
  15. Antennah

    Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

    Aiiiseeeeeeeeeeee..........tundulissu!!!!!! i dont like ruling system but acheni kabisa kuota hyo ndoto kwamba kuna chama kitashika hii nchi zaidi hiki kinachotawala.
  16. Antennah

    Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Punguza vigezo nikuletee dada angu mjombaaa,,,,,,Pesa si ipo?
  17. Antennah

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Kupata elimu ya degree ni vizuri na ina umuhimu wake, ila usimjaze kwamba eti itakuja kumlipa siku moja......asije kukulaumu atakapofika uzeeni na malipo hayo hajayapata.
Back
Top Bottom