Search results

  1. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Hii panel tu inatuonyesha kuwa hii ndio tabia ya watanganyika kujadili mambo ya MUUNGANO ki-upande mmoja. Hebu tuone katika mjadala huu ambao wanazungumzia muungano, kuna nani kati ya hao wanaojadili hapo ni wa upande wa pili (Zanzibatr) wa muungano huo wanaoujadili? Hakuna mmoja kati ya hao...
  2. M

    Kwanini nyerere aliiuwa tanganyika na kuuleta muungano?? ??

    Ili apate kuendeleza ukoloni mweusi vizuri dhidi ya Zanzibar. Si unajua wakoloni weusi ndo waliobaki baada ya kuondolewa kwa wale weupe.
  3. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Jamani kuuliza si ujinga. Mwenzetu ameuliza Mbowe ana elimu gani? Sasa watu mnazunguka tuu na blaa blaa nyiiingi. Kaka MBOWE NI PROFFESIONAL DJ. Hop unawajua watu wa namna hii, FORM FOUR LEVER.
  4. M

    Sherehe Za miaka 49 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania bara)

    Wacheni kutuchanganya, Hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika, sasa tutasherehekea vipi kitu ambacho tumesema tukiuwe. Kama vipi tuifufue Tanganyika iwepo then tuanze kusherehekea uhuru wake. Tusidanganyike Tanganyika haipo, kusherekea uhuru wake ni kujichanganya. Tupiganie Tanganyika irudi na...
Back
Top Bottom