Maelezo mazuri lakini pamoja na ufafanuzi kwamba hauna mahusiano na makampuni hasimu ya tigo,mashambulizi na debe la moja kwa moja yanafanya uonekane kama mwenye maslahi si kama mteja bali kama mfanya biashara.Biashara huria,wauzaji wengi,wanunuzi wengi lakini kila mmoja ana kigezo cha maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.