Search results

  1. K

    Tusiwe wepesi wa kuhukumu

    Habari zenu jaman! Wikendi hii naomba tutafakari kisa hiki: Kuna mwalimu wa shule ya sekondari alikuwa amezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji. Mwanafunzi huyu alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Hivyo, siku ambazo mwalimu huyu alikuwa na kipindi cha kwanza, mwanafunzi...
  2. K

    Malipo huanzia hapa hapa duniani

    Habari za wikendi wanajamvi! Kuna mkasa nilisimuliwa na nikaona siwezi kubaki nao moyoni mwangu bila kukushirikisheni wenzangu. Jaribu kwenda nami katika mkasa huu. " Kuna mume aliyeishi na mkewe kwa miaka kama kadhaa baada ya kufunga ndoa ya Kiislamu. Mungu akawajalia watoto watatu. Mtoto wa...
  3. K

    Wafanyabiashara wengine bhana wanakera!

    Poleni na hongereni kwa kula bata wknd hii. Wakuu, naomba tupeane mifano ya kero wanazozipata wateja kutoka kwa wafanyabiashara. Baadhi ya wafanyabiashara huwa wanakera kwa kuweka matangazo ya huduma au bidhaa ambazo hawana Kwa mfano, unakuta duka lina tangazo kubwa TUNAUZA VOCHA ZA AINA...
  4. K

    Tuwe makini na wasichana wa kazi (House girls)

    Habari za Weekend, Wadau! Kuna baadhi ya wasichana wa kazi huonekana wapole, watiifu, wachapa kazi, n.k kiasi ambacho mabosi wao huamua kuwaongezea mishahara au kuwapa zawadi yoyote ile to show their appreciation kwa hao wadada. Kwa bahati mbaya sana baadhi ya wafanyakazi hao ni wachawi na...
  5. K

    Tetesi: Kuna jipu la kulitumbua Temeke

    Manispaa ya Temeke haijamalizia kuwalipa walimu hela za usimamizi wa mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika kuanzia tarehe 2 - 25 November, 2015. Walimu hao walilipwa hela siku 6 tu wiki ya mwanzo ya usimamizi. Hadi sasa hakuna maelezo ya kueleweka ya kucheleweshwa kwa malipo hayo. Mamlaka...
Back
Top Bottom