Search results

  1. O

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    I like this topic. whether death penalty should be eliminated or not. it is good firstly before arguing anything about it, to discus what does the word murder means, and for a person to be convicted of it what are the pre requisite requirements by the court of law having competent jurisdiction...
  2. O

    Wakali wa umombo JF...

    do not think no one is above you in speaking this strange language. I belief, there are many who can speak excellent fluent English than you. You can only compare yourself in English speaking to the one whom you once had English conversation with him or her.
  3. O

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    biashara haramu ya madawa ya kulevya, pembe za ndovu, bidhaa zinazokwepwa ushuru, utoroshwaji wa viumbe hai na mikataba ya madini isiyo na maslahi kwa taifa ni moja kati ya sababu nyingi zinazoturudisha nyuma kimaendeleo. endapo mmoja kati yao atafanikiwa kuingia ikulu atafanya nini kukomesha...
  4. O

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Endapo mmoja kati ya wagombea hao atafanikiwa kuingia ikulu kwa nguvu ya wananchi, je atakuwa tayari kuurudisha azimio la arusha? Kama ndiyo, aeleze namna atakavyorudisha na kama hapana, atoe sababu za kutotaka kuurudisha.
  5. O

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    01. Ili maendeleo yapatikane ni lazima tutumie vyema na ipasavyo rasilimali hizi nyingi za thamani tulizopewa na Mungu. hii inawezekana ikiwa sambamba na elimu ambayo ndiyo inayozaa ujuzi na maarifa. lakini msingi wa haya yote ni amani, utulivu na mshikamano. Pasipo haya,hakuna maendeleo. Ni...
  6. O

    Sheria za Uchaguzi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Imekuwa ni tatizo na gumzo la kila siku katika vyombo vya usafiri, majukwaa ya kisiasa, mitaani, katika maeneo ya biashara, kumbi za starehe, maeneo ya michezo, mashuleni na katika vyuo. gumzo lenyewe linahusiana na hatua za kusimama toka ilipo kituo cha kupigia kura mara baada ya kupiga kura...
  7. O

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Mmeshaelezwa kuwa CDF yuko nje kikazi bado hamuelewi. mwataka muelezwe nini? siku zote hasa jamii hii ya kisasa huamini sana uongo kuliko ukweli. Hii ni hatari. Leo hii, mtu akielezwa ukweli, huyo aliyeeleza anaonekana sio wa maana lakini akitokea mtu mwingine na kuongea topic ile ile ila kwa...
Back
Top Bottom