Search results

  1. M

    Mnyika hakika wewe ni Mtanzania Mzalendo na Kiongozi wa Kuigwa

    Gurudumu uyasemayo ni kweli kweli kabisa lakini Mbunge pia kujitolea asilimia fulani ya mshahara wake ni MUHIMU ili kuonyesha kujali kwake mambo ya maendeleo vinginevyo kazi itakuwa ngumu sana kwani ujue hata wananchi wengine tutakaombwa kuchangia miradi pia tutato fedha kwenye...
  2. M

    Mnyika hakika wewe ni Mtanzania Mzalendo na Kiongozi wa Kuigwa

    Tungekuwa na Wabunge/viongozi wote Kama Mnyika hakika Tanzania Ingebadilika. Zidumu fifkra zako Mh. Mnyika, tunaomba wengine waige mfano wako. Sasa ni zama za kuchangia maendleo ya wananchi, zama za kuwaibia wananchi zimepitwa na wakati. Kwa mtindo huo kura kipindi kijacho tena ni kwako (endapo...
  3. M

    Msingi aliouweka ni mzuri, akachagua jina zuri lakini cdm hamjamsema vizuri:kulikoni?

    Sidhani kama tutafanikiwa kwa kujenga taifa lenye lenye kupoteza historia kwa kiasi hicho.... "No present without the past" na ndio maana hata kuna somo la historia, kujua tumetoka wapi, tuko wapi na tunaenda wapi. Nafikiri ni lazima tuwafundishe vijana na vyama vitoe elimu kwa umma wasipelekwe...
Back
Top Bottom