Search results

  1. C

    Baraza la madiwani Arusha lashindwa kukaa tena

    Hapo sasa uhuni wa serikali ya Jakaya ndo unapodhirika, watu wa Arusha ni waelewa wala hawadanganyiki na upuuzi wa ccm, Arusha shikilieni hapo hapo hadi kieleweke.
  2. C

    uhuni wa ccm karimjee

    Kinachotakiwa sasa ni kutwangana tu ndo tutaheshimiana.
  3. C

    CCM Kumtumia Tambwe Hiza Kama Muwakilishi: Ni Kudharau Mchakato wa Katiba?

    Ili tupate katiba nzuri yenye kukidhi matakwa ya watanzania walio wengi lazima tuwe tayari kutwangana maana ccm wanataka kutuburuza watuandikie katiba yenye kukidhi matakwa yao. Wapuuzi kweli hawa.
  4. C

    CCM Kumtumia Tambwe Hiza Kama Muwakilishi: Ni Kudharau Mchakato wa Katiba?

    :disapointed:ccm walimtuma Tambwe Hiza kama kuzuga tu maana wanajua wanachotaka kukifanya katika katiba, hivyo hawakuwa na sababu ya kumtuma mtu makini.
  5. C

    Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

    Hebu tujuze zaidi kuhusu hayo mauaji ya Tegeta, waliokufa ni waliokodiwa kubomoa au wananchi waliovamiwa na hao wapuuzi?
  6. C

    Spika Makinda Afafanua mvurugano kwenye mjadala wa Sheria ya Mchakato wa Katiba

    Hii serikali ya ccm wanajiona wao ndo wenye haki zote katika nchi hii, kwamba wao ndo wanaweza kutupangia kila kitu. Sasa wamelifanya suala la katiba la kwao badala ya watanzania wote. Jamani watz tukatae huu ufedhuli tunaofanyiwa na serikali ya ccm.
  7. C

    How to use JamiiForums effectively

    Nashukuru kwa ushauri wako.
Back
Top Bottom