Search results

  1. Gefu

    Asanteni sana CHADEMA kwa kazi nzuri

    Ndungu, Naomba kwa heshima zoote kabisa nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa kazi nzuri sana inayo fanywa na chadema. Binafsi nimekuwa nikifuatilia sana kazi za chadema kama chama cha siasa na mwisho nimejiridhisha pa si na shaka kuwa mchango wenu katika maisha yetu watanzania ni mkubwa na...
  2. Gefu

    Mbao mbao mbao

    Salaamz wadau, Nina mzigo wa mbao semi trela moja, soft wood, mbao ndefu, 2 x 4, 2 x 6 toka iringa. Kama unahitaji tuwasiliane nikushushie mzigo Wasalaam, Gefu
  3. Gefu

    Hongera Edward Ngoyai Lowassa kwa kampeni safi na kukubalika kwa watanzania

    Ulianza kwa kubezwa, ukatukanwa zaidi ya matusi 300 ya hadharani na mengi yasiyoripotiwa, hukuona shida ukaendelea. Umekaza mwendo kuichuchumilia taji ya ushindi..! Hongera sana rais wetu Lowassa. Umeonyesha ni kiongozi mwenye nguvu na mvumilivu katika magumu na mazito. Sio kama mpinzani wako ni...
  4. Gefu

    NEC, Jaji Lubuva historia itawahukumu

    Sio siri tena kwamba Tanzania, Watanzania na taifa linataka mabadiliko. NEC na Jaji lubuva kwa nafasi zenu na kwa sheria ya sasa mnanafasi kubwa sana ya kupoteza matumaini mapya ya taifa letu au kuruhusu mwanzo mpya Wa taifa letu. Nachukua nafasi hii kwa dhati kabisa kuwakumbusha kwamba taifa...
  5. Gefu

    Usanii katika BVR..

    Wadau wa UKAWA mliopo dar fanyeni hima mkahakiki taarifa zenu za kupiga kura. Uhakiki umeanza kimyakimya na mwisho ni Tar 7 keshokutwa. Kwa mujibu wa wadau wanasema vijana wengi taarifa zao hazipo na huenda hii ikawa hujuma. Tafadhali hakiki na kama taarifa zako hazipo nenda ofisi ya ukawa...
  6. Gefu

    Magufuli anahitaji madodoki mengi ili angalau aonekane

    Kwa trend ilivyo sasa, kukubalika na kutambulika kwa utendaji bora haina shaka Lowassa ana rekidi nzuri na uzoefu zaidi ya Magufuli. Lowassa ameshika nafasi za juu zaidi ya magufuli. Lowassa ana uzoefu wa kusimamia serikali na sio wizara pekee. Lowassa wananchi wanamtambua kuliko Magufuli...
  7. Gefu

    Nape: Kingunge afanye anachotaka

    Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya. Nionavyo ubabe huu lazima CCM watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu Mzee Makamba...
  8. Gefu

    Dr. Bilal vipi sasa..!

    Dr Bilal inakuwaje..? Ndo bench linaanza leo ? au kwakuwa alikuwa team lowasa..?
  9. Gefu

    Natafuta gari ndogo ya kununua, isizidi Milioni 5

    Wadau natafuta gari ndogo aina yoyote nzuri isiyo zidi milioni tano. Mwenye nayo anijuze fasta. Kama inatatizo nijuze pia ili tusipoteze muda
  10. Gefu

    NEC imehairisha uandikishaji wa Wapiga Kura Kwa Mkoa wa Dar na Pwani

    Salam wana Jf. Leo nimesikia kuwa uandikishaji wa wana dar es salaam umeahirishwa kwa muda usiojulikana. Ninesikitishwa na taarifa hii ambayo ukizingatia watu walishajiandaa kisaikolojia na sisi tulio pembezoni tulisha panga ratiba za kurudi kuungana na familia zetu kuongeza nguvu ya kumkabili...
  11. Gefu

    Chifu Lutayosa Yemba Mpinzani wa Lipumba, afukuzwa uanachama

    Wadau, Nimepata taarifa kuwa kuna kiongozi wa CUF aliyesimama na kupambana na Prof. Lipumba kwa nafasi ya mwenyekiti na kupata kura 23 amefukuzwa. Sijafanikiwa kupata details, kama kuna mwenye taarifa za kina ajazie. Jina lake Sefu Mtayosa. ============================= Chanzo: Mtanzania
  12. Gefu

    Basi la Nyagawa kutoka Njombe limepata ajali mbaya

    Habari wakuu, Si muda mrefu nimelikuta basi la Nyagawa toka Njombe likiwa limepinduka upside down. Inasemekana wamekufa watu wanne. Mpaka naondoka eneo la ajali juhudi za kuwatoa watu walionasa ndani zilikuwa zinaendelea. Chanzo cha ajali bado hatujafahamu.
  13. Gefu

    CHADEMA nimewavulia kofia..!!

    Salaam, Kuelekea uchaguzi mkuu, wakati CCM wameweka mategemeo yao makuubwa kwa Kinana, Polisi pamoja na fisi, wenzao wa CHADEMA mbunge, au diwani au kiongozi yeyote anaweza kuanzisha kampeni au mkutano na ukafanikiwa. Mfano Mh. Sugu anaendelea kuwahenyesha CCM, Lissu na lema hapatoshi, Nyerere...
  14. Gefu

    Askofu Gwajima ukipona ....

    Eeh Askofu Gwajima pole kwa masaibu yaliyo kupata. Naamini Mungu yupo nawe na utapona maana kazi yake bado hujaimaliza na taifa linakuhitaji. Mara utakapo pona tunahitaji tamko Kali sana zaidi ya hili LA sasa kwa woote waliotaka kudhuru afya yako na wote walionyuma ya mchezo huu mchafu...
  15. Gefu

    Nini tafsiri ya kiburi cha hawa vigogo wa ESCROW

    Salam wana Jf, Kwa kweli nimeshangazwa na kuogopa juu ya majigambo na kiburi cha hali ya juu kikichoonyeshwa na wateule pamoja na watu Wa karibu wa rais. Chenge kwanza anatamba gamba lipk kiunoni Wa kumvua aende na shoka, pia yeye joka lenye makengeza linasaka pesa, ngeleja bila shaka anakiri...
  16. Gefu

    Ombi maalum kwa ITV na Star Tv

    Kwa kuwa nashawishika kuamini kwamba sababu kubwa iliyochangia kutomrudisha TBC bwa Mhando ni uwazi Mkubwa Wa vipindi vya mchakato majimboni. Vipindi ambavyo kwa kiasi kikubwa vilionyesha uhalisia, sera na uwezo binafsi wa wagombea kuanzia ngazi ya wabunge mpaka rais. Na kwa kuamini hivyo...
  17. Gefu

    Akacha shule kwa kunogewa penzi la nguruwe

    Hii ni kali ya mwaka baada ya dogo kuzimika mpaka kushindwa kujizuia kufanya mapenzi na nguruwe wao ambae amedai ni mrembo na humridhisha kuliko kawaida jambo lililomfanya ashindwe kuhudhuria shule ambapo yeye ni mwanafunzi wa kidato cha pili. Karibuni sumbawanga. CHANZO: Habari Leo
  18. Gefu

    Kwanini Lowassa?

    Wadau,nimekutana na Mh. Lowassa mara kadhaa na nimemkuta na escort ya usalama wa taifa mara zote. Yeye ni waziri mkuu aliyejiuzuru,sijui kama waziri mkuu anaulinzi,sijaona kwa Mh.Warioba. Cha ajabu ni kuwa yeye sasa ni mbunge wa kawaida. Nimejiuliza kwanini bila majibu. Em tuelimishane...
  19. Gefu

    Kwa hili, Mwigulu nakuunga mkono

    Sijawahi kukuunga mkono,kukubaliana na wewe wala kupenda chama chako. Lakini kwa mkakati wako wa kuondoa matumizi mabaya ya fedha za umma na ile kauli na msimamo wako wa katiba mpya,nakupa hongera mdogo wangu. Ila kwa sioni mwanga maana chama chako hakitaki hayo yote. Naona kama unatuhadaa or...
  20. Gefu

    Kwa mwendo huu, CHADEMA, CUF na NCCR muwe makini na CCM October 2015...

    Wote tumeona na kushuhudia jinsi CCM wanavyoweza kuthubutu kudharau na kubadili maoni na matakwa ya wananchi. Wametumia nguvu kubwa kuchakachua mabaraza ya katiba ili kuuteka mchakato mzima,lakini walishindwa kutokana na uzalendo wa tume. Baada ya kushindwa wameamua kuliteka bunge la katiba na...
Back
Top Bottom