Search results

  1. M

    Great thinkers tafsiri ya neno "fisadi" kwani kumekuwa na tafsiri za ajabu

    Watanzania wenzangu hasa Great Thinkers ninaomba mtusaidie tafsiri sahihi ya neno "FISADI",Hii imetokana Na matumizi yasiyo Na uhakika ya neno hilo.
  2. M

    Serikali ya CCM yamtisha mtangazaji Sam Mahela kwa kutangaza treni iliyokwama

    Mtangazaji wa Kituo cha ITV Bw. Sam Mahela juzi alitangaza juu ya treni ya kwenda mikoani kuharibika na kuwatelekeza abiria waliokuwa wanasafiri na treni hiyo. Hali ya abiria hao na watoto no mbaya na pia abiria walimwonyesha mtangazaji huyo vitanda na magodoro yaliyochakaa. Baada ya kuona...
  3. M

    Kumbe wabunge wa CCM waliahidiwa mafao makubwa kupitisha muswada wa gesi!

    Hatimae siri ya kupitishwa Muswada Wa GESI kwa dharura Na HARAKA yabainika.Muswada huo una maslahi ya Viongozi Wetu Na Kundi la Wafanyabiashara Wa nje ya Nchi.Ili kuhakikisha mkataba huo unafanikiwa ilikuwa in lazima Muswada Wa Gesi Upitishwe kwa gharama yeyote Na Wabunge Wa CCM wakahaidiwa...
  4. M

    Mzee Sitta acha uongo, wewe ni mtu mzima

    Bw.SAMWEL SITTA akiwa Tabora aliwadanganya wananchi eti aliambiwa Na nyerere kuwa lowassa hafai.Je uliambiwa were unafaa? Bw.Sitta acha kuwadanganya wananchi kwani Nyerere alikuwa anaogopa nini mpaka akwambie wewe?Bw.Sitta wewe ndio hufai ukiwa Waziri Wa ujenzi ulishindwa kujenga Barabara za...
  5. M

    Watanzania mlio wengi umasikini wenu umesababishwa na "CCM"

    Jamani Ndugu zangu watanzania wengi wetu maisha yetu ya kila Siku ni Mungu tu ndio anayajua kwani in ya shida Na taabu.Umasikini umetuzonga miaka 50 sasa Na msababishaji in "CCM" Watanzania wenzangu sisi wachache kina MAGUFULI ,KINANA, TIBAIJUKA Na Kijana wetu mdogo RIDHIWAN KIKWETE Na wengine...
  6. M

    Heko madaktari na wauguzi wetu mabadiliko ni lazima

    Wakati umefika kwa watanzania wote kuikataa CCM Na Kuamua kufanya MABADILIKO dhidi ya Utawala uliodumu kwa Nusu Marne Wa CCM chama kilichotuchakaza watanzania kwa UMASIKINI WA KUTISHA NA MATESO kwa RAIA wake kama vile Dr.ULIMBOKA Na mwandishi Wa habari aliyepigwa Bomu Na Polisi Iringa DAUDI...
  7. M

    Mzee warioba acha unafiki kweli ccm iliyokataa vipengere vya kuthibiti ufisadi leo unaisifia?

    Nimeshangazwa sana Na Mzee Warioba akiwa Dodoma akimnadi Magufuli kuwa atauondoa Ufisadi huku akijua kuwa Magufuli Na CCM ndio waliyakataa mapendekezo ya rasimu yao ya katiba Na kupelekea yeye Warioba kutandikwa makofi Na makonda wakati Mzee warioba akiitetea rasimu.Mzee unakula matapishi yako...
  8. M

    Serikali ya CCM na Shirika la Reli

    Jamani jamani ni aibu kwa Shirika la Reli chini ya Serikali ya CCM linatia aibu.Serikali ya CCM inaonyesha jinsi ilivyoshindwa kuliboresha shirika hili.Mtangazaji Mahela wa ITV ametuonyesha watanzania magodoro yalivyochakaa na kukatikatika na vyoo vilivyofurika hata kuhatarisha afya za abiria...
  9. M

    Magufuli suala la elimu Lowassa kasema bure hatutaki mikopo

    Jamani kweli CCM inasahau Serikali ya CCM ilianzisha bodi ya mikopo kwa wanafunzi bodi ambayo imekuwa chukizo kwa watoto wa masikini cha ajabu mgombea urais Magufuli akiwa iringa anawadanganya watoto wa Masikini eti atawapa mikopo. Hivi hajui kuwa tayari kuna bodi ya Mikopo? Jamani watanzania...
  10. M

    Magufuli akiri kwa kinywa chake watanzania wamechoka

    Mgombea Urais Wa CCM Bw.Magufuli akiwa katika mikutano yake ya kampeni mjini Dodoma amekili kuwa WATANZANIA WAMECHOKA.Kauli hiyo haina ubishi kwani anajua kuwa kilichowachosha watanzania ni CCM. Huo ni ushahidi tosha hivyo Watanzania hasa WAFUASI wa CCM tukubali kuwa kina MAGUFULI Na VIONGOZI...
  11. M

    Wakazi wa Kigamboni nusura wakwame na Mv. Kigamboni

    Leo tarehe 30/9/2015 Kivuko cha MV. Kigamboni majira ya saa 1.00 asubuhi kimeshindwa kushusha abiria katika sehemu yake kutoka Na ubovu Wa chombo hicho Na kupelekea abiria kujaa hofu ya KUPIGA MBIZI kama Mgombea Wa Urais Wa CCM Bw.Magufuli alivyowakejeli wakazi Wa Kigamboni. Kauli hiyo...
  12. M

    January Makamba eti ana maadili kuliko waziri mkuu Pinda na makamu wa rais

    Kamati ya maadili ya CCM iliyokutana Dodoma kumtafuta Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM iliwakuta Viongozi eti HAWANA MAADILI ya Chama ns hivyo kutoteuliwa hats kwenye TANO BORA badala yake eti January Makamba ana maadili kuliko Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu waliopo madarakani.Ukweli imeshangaza...
  13. M

    Mwaka huu maccm fisadi yanaomba kura kwa " push up"

    Watanzania msikubali Na hayo MaCCM kuomba KURA zenu kwa Vitendo vya KIHUNI .MaCCM hayo yakiongozwa Na Mgombewa wao Wa Urais wamekuwa wanapiga Push Up mbele ya wananchi huku wakiomba wawachague.Watanzania hiyo in tabia ya Kihuni sio Ustarabu Wa Mtanzania hivyo msikubaliane Na UHUNI wao.
  14. M

    Huyu jamaa aitwae "Papaa Mchoyo" anakeraa sana kwenye mtandao wa Tweeter

    Kuna jamaa anajiita "PAPAA MCHOYO" muda wote yuko kwenye mtandao Wa TWEETER ukweli anakera sana .Pamoja Na kuwa anatumiwa Na CCM kutuka wapinzani ukweli amekuwa kichefuchefu.
  15. M

    Hali tete wananchi kuiadhibu CCM

    Watanzania wameamua licha ya ahadi nyingi kutoka kwa mgombea urais Bw.Magufuli.Watanzania bado wanazikumbuka ahadi hewa za Rais Kikwete za toka 2005/2010 Na 2010/2015 .Watanzania wamechoka kudanganywa kama watoto hivyo hawana imani Na ahadi lukuki zinazotolewa Na Magufuli huku Magufuli huyo huyo...
  16. M

    CCM kuwahonga walimu ili waichague

    Nitashangazwa sana iwapo walimu wetu watakubali kufanywa ngazi ya kuwaweka MACCM madarakani kwa kupewa Sh.50,000/=,Naamini walimu wetu wamesoma Na wanaujua UONGO Wa CCM kwa miaka mingi hivyo sio rahisi kudanganyika kama WASANII WETU.Walimu MADAI yenu in makubwa Na mmekuwa mnazungushwa kulipwa...
  17. M

    Magufuli aisababishia serikali deni la la kizembe la sh.bilioni 900

    Watanzania wenzangu Bw.Magufuli Waziri Mwenye kutafuta sifa kwa maamuzi ya kukurupuka kwa Mara nyingine tena ameisababishia hasara kubwa Serikali kwa kutowalipa Wakandarasi Na kutengeneza riba ya sh.Bilioni 900.Pamoja Na riba hiyo bado deni lipo pale pale.Leo hii CCM inamnadi eti msafi .Huo no...
  18. M

    Ukawa kura za vijijini muhimu nazo

    Ni imani yangu kuwa Viongozi Wa Ukawa wanatambua umuhimu Wa kuzitafuta kura za VIJIJINI. Tunawaomba kwa muda huu wafanye mikakati hiyo.
  19. M

    Nyerere:ukikosa mabadiliko ndani ya ccm utayapata nje ya ccm(ukawa)

    CCM nadhani mmekuwa mnamwenzi Hayati Baba Wa Taifa Nyerere.Nawaomba sana tena sana heshimuni kauli zake umesikia Magufuli?Umesikia Mkapa? Haya waacheni wananchi watafute MABADILIKO NJE YA CCM.
  20. M

    Samwel Sitta alivyokosa maadili ya urais kachukia na ubunge?

    Kamati ya maadili ya CCM tunaipongeza sana tena sana kwa kututhibitishia watanzania kuwa kumbe tulikuwa na viongozi wasio na maadili.Tunachojiuliza kwanini walikabidhiwa nyadhifa kubwa kiasi hiki? Ina maana watanzania tulikuwa tunaongezwa na viongozi hao. .Je viongozi hao walichaguliwa au...
Back
Top Bottom