Eti piga hesabu, utakuwa una utindio wa ubongo we kibwengo. Unadhani takwimu za meli na mizigo bandarini huwa zinafanywa kwa hesabu kama za BODMAS?
Kwa taarifa yako bandari ya Mombasa ina berth 19, kwahivyo 'capacity' yake ni zaidi ya 150% ya bandari ya dar. Mizigo ambayo huwa inapita bandari...
Mbona hizi zako ndio propaganda? Meli ziliongezeka kwa asilimia 12%, bandarini Mombasa ndani ya mwezi mmoja tu wa Desemba. Kisa utepetevu na ngonjera ngonjera kwenye bandari zingine zote ukanda huu.
'Delays' kwasababu ya kuongezeka kwa meli zinazotia nanga Mombasa zilitegemewa. Hadi KPA wakatoa...
Eti barabara zenye viraka? Maeneo gani hayo ya Nairobi, Mombasa na Voi. Acha unafik, hujatia mguu wako ndani ya nchi ya Kenya wewe. Labda ulizuru Kenya kwenye ndoto.
Tunajadili za KQ na biashara ya usafiri wa anga sista, sio kuringishiana kuhusu vitu vya kawaida. Kiamsha kinywa na vyakula, kwetu sisi ambao tunajaza tumbo na mahitaji mengine yote ya watu zaidi ya 5 kila siku ya wiki, mwaka nenda mwaka rudi, sio masuala ya kuzungumzia.
Mlimwagaje Ugali jombaa, wakati sie tulikiuwa tushamaliza kula(...na bado tunaendelea kula hadi sasa hivi)? Marufuku yenu ya kimagumashi ilikuwa ianze tarehe 22. Jana tarehe 16, na tayari mlikuwa mmeachia, hata kabla masaa 24 hayajapita tangia mtangaze maamuzi yenu.
Waeleze wenzako hadi waelewe mleta mada. KQ bab kubwa jombaa. 🇰🇪 Yaani wanadhani kupata 'route' zote hizi na vibali vya kutua kwenye miji yote hii, kote duniani ni rahisi kama kudensi dombolo au kwasakwasa? Proudly Kenyan! 🇰🇪
Nadhani wenzako hawa na watanzania walio wengi wanahitaji kuhamasishwa kwanza na kuelimishwa, kuhusu katiba. Ili wajue katiba ni nini haswa, kabla ya hatua zozote zingine.
Maanake kama wakenya wangekuwa na fikra kama hizo. Enzi hizo walipoandika katiba mpya 2010, sijui kama tungetoboa. Jirani...
Mbona hatua zipo nyingi sana ambazo zinaweza zikachukuliwa? Dhidi ya rais ambaye anakiuka amri za mahakama au utawala wa sheria chini ya Katiba ya Kenya 2010?
Au unazungumza kuhusu katiba ya Kenya nyingine na sio hii hii nchi yetu tunayoijua? Tena sio lazima hatua hizo zianzishwe na mhimili wa...
Jombaa, waganda na warwanda wanaingia Kenya kwa kutumia vitambulisho vyao tu. Ila kwa watanzania ni marufuku. Hadi pale ambapo shughuli ya kuwapa watanzania wote vitambulisho vya taifa itakapokamilika na mkataba kati ya nchi hizo utiwe saini. Vitambulisho ndio vilikuwa kigezo kikubwa cha...
Mpango wote ulikuwa ni kwamba watanzania pia wangekuwa wanakubaliwa kuingia nchi za Ke, Ug, Rw kwa kutumia vitambulisho vyao tu na baadaye S.Sudan. Ila mkataba ulipotiwa saini bado Tanzania haikuwa imewapa raia wake vitambulisho vya taifa.
Itaendelea kula kwenu, ukitilia maanani kwamba kwenye...
Kinachowaponza watanzania kwenye usafiri(kuhamia na kufanya kazi pia), ndani ya jumuiya ya A.M ni kitambulisho cha taifa. Mimi nimesafiri mara kwa mara nchini Rwanda na Uganda na kama mkenya huwa silazimiki kutumia pasipoti yangu. Kitambulisho cha taifa la Kenya huwa kinakubalika kwenye kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.