Search results

  1. M

    Watanzania tusipomuunga mkono Rais Magufuli tutakuja kulia kwa kusaga meno kama walibya

    Kiongozi mzalendo na imara husikiliza anaowaongoza na kutoa uamuzi makini na wabusara. Kiongozi anayetaka kulazimishwa kusifiwa kana kwamba yeye hakuwahi kuwa fisadi alishushwa kutoka mbinguni hivyo kuwa tenda wenzake ambao pengine walikuwa wakishirikiana naye kabla hajapata cheo na kujifanya...
  2. M

    Viongozi wa TUCTA ni makada wa chama,wafanyakazi hatutoboi kwa hali hii.

    Serikali bado inabana matumizi subiri kidogo kodi zikisanywe ilimpate nyongeza.
  3. M

    Wakati si milele

    Ushaambiwa hao wanaompinga au kupiga kelele ni katika kundi lile la wafanyabiashara haramu huhitaji kufikiria mara mbili .
  4. M

    Rais Magufuli sasa ni "ama "Tanzania "ama "Makonda"

    Wote wanaompinga raisi ni wauza madawa huhitaji kuhoji na kueleweshwa kwahiyo tupige kazi tu tuache kumkosoa raisi yeye yuko sasa mwenye kila kitu hahitaji kuambiwa wala kupangiwa.
  5. M

    Kwa kauli hii Gwajima kaonyesha uzalendo

    Wazo zuri sana. Wabireshe Kiwanja vyetu vya ndege hususani Kilimanjaro ili watalii wote washuke kwetu na sio nchi jirani hapo ndipo slogan itakuwa na maana.
  6. M

    Kwa kauli hii Gwajima kaonyesha uzalendo

    Wazima zuri sana.
  7. M

    CAG: TANESCO wananunua umeme Tsh 574 na wanauza Tsh 279, ndicho chanzo cha hasara

    Inasikitisha sana japo kuwa gesi inazalishwa hapa hapa lakini tunaendelea kuumia sasa inafaida gani si bora tungeacha kuchimba ili wajukuu zetu waje kuchimba hiyo gesi kuliko huu uhuni unaoendelea.
  8. M

    Mbowe: Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja

    Ishara hizi za udikteta ni hatari kwa afya na ustawi wa taifa. Bado vyama vya upinzani vinayo safari ndefu kutetea huu mfumo dume.
  9. M

    Chama cha CUF kiko hatarini kufutwa na Msajili wa vyama vya siasa

    Huu ni wakati mzuri wa TLS kufanya kazi yake kwenye masuala muhimu kama haya kupindisha sheria naamini huu utakuwa mtihani muhimu sana kwa Lissu.
  10. M

    Wakili Wasonga: Nitarudi tena mahakamani kupinga matokeo yaliyompa ushindi Tundu Lissu

    Haya ni madhara ya taaluma kutawaliwa na siasa.
  11. M

    Yusuph Manji awekwa chini ya ulinzi siku 20, aiomba mahakama iingilie kati

    Anakumbuka matching sasa umbwa kawa mfalme anang'ata mipaka visigino .
  12. M

    Naijutia kura yangu niliyowapa UKAWA kwa jiji la DSM

    Kwakuwa umetambua madhaifu haya basi usiichague UKAWA na kwakuwa nchi inaendeshwa na ILANI ya chama Tawala imewafanya UKAWA kushindwa kutekeleza majukumu yao hivyo kujiKuta ikiburuzwa na kulazimishwa kufuata ILANI ya chama Tawala. Hivyo basi kwakuwa kumekuwa na mvutano wa kimaslahi kati ya...
  13. M

    Migodi hatarini kufungwa kufuatia agizo la Rais Magufuli

    Umeongea vizuri sana suala kubwa kuliko yote ni kuwa tumeshindwa kujenga uwezo wa kiuchumi kwa wazawa hivyo kuwaachia wawekezaji na watu binafsi kuendesha shughuli za madini. Hakuna connection kati ya elimu yetu na shughuli za madini wasomi wetu wamebaki hawana pakushika hivyo inapotokea...
  14. M

    Bagamoyo: Polisi wafanya mauaji ya wafugaji wawili na kujeruhi mmoja

    Niliona kwenye taarifa ya habari kuwa wafugaji hapo waliingia na mifugo kwenye mipaka ambayo sio yao hata hivyo DC alithibitisha kwamba mapigano na mayai hayo yalitokea ndani ya eneo la wafugaji . Hapo ndio tatizo Kubwa lilipotokea kuwa kwanini polisi wawashambulie ndani ya eneo Lao na hivyo...
  15. M

    Kwanini "tunashadadia" sana kuhusu Mh.Makonda

    Kutokana Jf na wewe umo humu ndani ni sawa na kujichungulia vyeti zako alafu unajishangaa. Simply usingie humu kama hutaki maudhi na tafuta majukwaa ya kupendezayo.
  16. M

    Kwanini "tunashadadia" sana kuhusu Mh.Makonda

    Siku zote binadamu tunajisahau tulipotoka hivyo nikipata tunawaona binadamu wengine hawana maana na hawafai ndicho kilichomkuta Makonda. Sambamba na mkulu naye anapata adhabu kutokana na historia ya bwana Bashite.
  17. M

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Ugali moto mboga moto na najaribu kuwaza kwa sauti huwa nikipata kashikashi kidogo naomba ardhi ipasuke nizame. Sasa hili la Makonda ukiachilia yeye mwenyewe hakika kama haya mambo ni kweli yuko katika wakati mgumu sana .
  18. M

    Bajeti 2016/2017 imebakiza miezi mitatu muda wake uishe,je imeleta mabadiliko huko kwenu?

    Bajeti ambayo haikuridhiwa na bunge inaonyesha matokeo yake maamuzi ya kupuuzia utawala wa Sheria Ni haya to sana.
  19. M

    Ufisadi wa elimu: Comredi Kainerugaba Msemakweli tunakuhitaji leo kuliko kipindi kile

    Kinacho nsikitisha katika suala hili la ufisadi wa elimu Ni kwamba Mafisadi wenyewe wamepewa ring la kuhakiki vyeti Feki kwa hiyo zoezi hili kufanikiwa had kuona safari ndefu.
Back
Top Bottom