Huyo mwenye shati jeupe anaonekana ndiyo mbunge wa Sasa na ajaye huyo mwenye kofia kama ya mzee Ojwang' anaonekana kama msela fulani aliyekutana na kiongozi wake...😂😂😂✌️
Naona jamaa unamshambulia sana Q Chief sababu Q Chief na watanzania wengi timamu wanauliza Mwana FA alienda lini South Africa wakati jumamosi alikuwa kwenye uzinduzi wa albamu ya Harmonize so South alienda lini na kurudi lini, pia kitendo cha msanii msomi na uelewa kama FA huwezi kuiponda korona...
Hii ishu ni kweli Magu anataka kuua upinzani especially chadema baada ya 2020 ibakie NCCR na ACT ndio zenye wabunge wakuunga sera za CCM ili misaada ije na uchaguzi uonekane ulikuwa huru na haki...😢😰
Nakumbuka mwaka 2017 tulivyoachishwa kazi katika mgodi wa Acacia kwa mbwembwe nyingi kwamba ni wezi tunaiba makinikia na serikali inakuja kulipwa matrilioni nchi nzima ilifurahi lakini kiukweli maelfu ya watu tulipoteza kazi na mabilioni ya kodi na mapato ya serikali na nchi kwa ujumla na mpaka...
Tatizo walikuwa wanatumia insuarance kama AAR na strategies ambayo makampuni mengi yamejitoa kutokana na hali ya uchumi hata Aga Khan nako hali siyo nzuri watu wanajaa Muhimbili na Mwananyamala.
Huyu Bashite akome kuchezea NSSF zetu mie nimefanya kazi mgodini miaka kumi naumia chini ya ardhi nimetoka nimeathirika mgongo na mapafu halafu nazungushwa malipo yangu zaidi ya mil 70 wanaenda kupewa watu ambao hawajahi kuchangia hata siku moja eti wafungue viwanda siwatupe hela zetu siye...
Jamani mimi nilikuwa mfanyakazi kwenye sekta ya madini nimeachishwa kazi muda wa miezi nane lakini kila nikienda NSSF nazungushwa njoo baada ya miezi miwili mara mwezi bila mafanikio je kuna njia gani nitaweza kutumia labda ili niweze kupata haraka. Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.
Jamani Kampuni ya Vodacom Tanzania mbona wananchi tunashindwa kuwaelewa haiwezekani leo inakaribia wiki moja mtandao wenu wa mawasiliano ni mbovu especially kanda ya ziwa simu hazitoki , data nazo ni shida, m pesa nayo ndiyo usiseme unatoa hela asubuhi inakuja message usiku hivi tatizo ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.