Search results

  1. Marahaba

    Mke wa mtu anataka turudiane, alikuwa girlfriend wangu

    Kaka si wote waliooa au kuolewa na watu waliowapenda kwa mara ya kwanza, ila kama unamke na una watoto naye ana mume na ana watoto, hata kama watoto hawapo maana watoto ni mibaraka , tafadhali sana usithubutu hata kujaribu kumuacha uliyenaye ukaoana na huyo ,maana kwenu siku zote mtaonekana...
  2. Marahaba

    Yapii mawazo yako kwenye hii picha?

    Mnijuze mzee mbona kufikiria zero hapa
  3. Marahaba

    Je kuna 3rd chance au zaidi ya hapo katika Mahusiano?

    Ahsantea sana wadau kwa hili, maana nitakufa kabla ya siku zangu ,yaani siku hiyo katimua akawa tayari ana mwingine mpya ,sasa nimeshindwa kweli kumuelewa kama walikuwa wote siku nyingi ama ndo anapunguza machungu huko,
  4. Marahaba

    Huyu msichana ananifaa?

    Hapo mwenye macho sikuzote haambiwi Tazama,kwa kuwa uliona mwenyewe ilitakiwa tu usepe fasta?
  5. Marahaba

    Je kuna 3rd chance au zaidi ya hapo katika Mahusiano?

    Jamani mimi nilikuwa na rafiki yangu wa kike ,aliniacha kwa mara ya kwanza kwa madai kuwa nina tabia ya mfumo dume! hizi zilikuwa hazimridhishi katika mahusiano mpaka akafika hatua ya kumpata mshikaji mmoja, huyo naye hawakudumu wakakaa kama miezi 5 tu wakaachana ,baada ya hapo akampata...
  6. Marahaba

    Mpenzi wangu amenipiga mkwara wa kuangalia au kushika simu yake

    Guys Nakwambia Macho yamefunguka na nimeona ,hapa ni darasa tosha kwanini nijiue kwa wasiwasi wakati ukweli ndo huu mmenipa
  7. Marahaba

    Kufumania na kufumaniwa kipi bora?

    Hapo wala! Mrudieni tu Mungu hasa aliyefumaniwa maana si wewe ndo ulikuwa ukivunja amri ile ya Mungu usizini
  8. Marahaba

    Mpenzi wangu amenipiga mkwara wa kuangalia au kushika simu yake

    Kweli e! hapa ni kutimua,maana kumbuka ya kwangu huwa anaishika tu akitaka kumpigia mama yake au dada zake ,lakini ya kwake mmm!hapa mmenifungua macho maana nitakufa kwa presha bure kwa kweli
  9. Marahaba

    Mpenzi wangu amenipiga mkwara wa kuangalia au kushika simu yake

    Jamani wadau hii imekaaje katika mahusiano?Eti ukiwa na mpenzi wako(she) halafu kwa hali isiyo ya kawaida ikatokea maporomoko ya hapa na pale ,then yeye akaanza kukupiga mkwara usiiguse simu yake na akiwa home muda wote ameishikilia mkononi(yaani akiwa anapika,akiwa sebuleni ,mkiwa chumbani muda...
  10. Marahaba

    Eti kisa nina maumbile madogo! Nifanye nini mie?

    Tooooooooooobaaaaaaaaaaaaaaaaad,kweli asingeolewa nawe mpaka mnapata watoto wawili! siwezi amini ni maumbile,otherwise kweli kuna jamaa anayempa malavidavi ya juu kuliko unavyompa
  11. Marahaba

    Mpenzi wangu amebadilika na anataka kuniacha naombeni ushauri

    Kaka Kumbe matukio haya yanafanana kwa baadhi ya watu , hata mimi yamenikuta , maelezo uliyoyatoa ndo hivyohivyo kwangu pia, kuwa upendo wake kwangu umekwisha, nikasema hata nikiomba msamaha hapa tukirudiana itakuwa utumwa maana ndo yaleyale twende tukaongee na mama au mjomba, nikasema tu you...
  12. Marahaba

    Wabunge kumng'oa Spika Anne Makinda?

    We wasema, maana hiyo source ndo iliyomweka, kosa lake ni lipi kwao, maana aliyekuwa akiwakera ndo huyo walimnyang'anya kijiti asikimbie tena ,wapi na wapi wamtoe waliyempa kijiti cha kukimbia
  13. Marahaba

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    Ukweli wa mambo kuhusu muhusika ayajua muhusika mwenyewe au watu wengine?Plz................nani wakumuuliza?
  14. Marahaba

    Nafokewa na mchumba

    Mwanamke ameeagizwa kumtii mpenzi wake wakati mwanamume ameagizwa kumpenda mpezi wake,haya mawili yakitimizwa wala hutasikia kufokeana katika mahusiano
  15. Marahaba

    Daktari auawawa Makete

    Heeeeeee!jamani daktari kawafanya nini tena mpaka auwawe duh!Mungu na awe mfariji wa wafiwa
  16. Marahaba

    Mabinti huwa mnahitaji nini?

    Duh! ni noma, kwakweli watuambie ni nini wanachokihitaji ili wadumu mpaka kifo kiwatenganishe na wale ambao wameshafunga nao pingu za maisha,plz
  17. Marahaba

    watoto wa kinyarwanda wanamvuto!

    Hao Warwanda si wote wanamvuto ,ni baadhi tu kama ilivyo na huku bongo,katika kila Taifa au Kabila huwezi kosa warembo
  18. Marahaba

    Hivi siku unagundua hili utafanyaje?

    Mada zingine aisee ni noma! ongea tu mama yako endapo wewe huna dhambi kama hiyo ,ilakama unayo hafadhali tu uwe kimya,maana binadamu siku zote ana tabia ya mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mh! mchungu
  19. Marahaba

    Lee Kuan Yew and the New World Order

    Duh!,So wadau wa JF ,Lee Kuan Yew ndo atakayeongoza mchakato wa New World Order ama?,maana kwa ufahamu wangu nilijua ni Marekani ndo machampion wa hiyo New World Order,pale dunia inapoelekezwa kuwa na Serikali moja(mtawala mmoja ) na Dini Moja pia
  20. Marahaba

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Duh!ahsanteni sana wadau wa JF kwa michango yenu mizuri,hakika baada ya dhambi binadamu alijulishwa kuwa kifo ni hakika na kwa uhalisi wa mwanadamu hatuwezi zuia kifo kwani kwa imani ya kikristo kifo ni usingizi pale unaposubiria hukumu baada ya ufufuo,la msingi hapa ni unakufaje!ukiwa na...
Back
Top Bottom