Search results

  1. mfarisayo

    Ukiona umetongoza Mwanamke wa Kilokole ( Kimakanisa ) anakufanyia hivi au anakujibu hivi jua hataki na hakutaki

    1. Wale hua hawatongozwi we mwambie umeoteshwa 2. Asilimia kubwa ya wanawake wanaosali hayo makanisa ni yale makurumbembe yaliyoshindikana Duniani ila yamejivika ngozi ya kondoo na wengi ni wagonjwa
  2. mfarisayo

    Ahsante Rais Samia, hatimaye baada ya miaka 7 kazini mwezi huu nimepanda daraja

    Mwezi huu ambao umekwama utalipwa hiyo fedha yako japo kuna muda inaweza kuchelewa mimi mara ya mwisho wenzangu walipanda mimi nimebadilishwa miezi minne baadaye nilikuja kulipwa hilo gap lake lote. Hivyo usiumie utalipwa haki yako
  3. mfarisayo

    Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

    Kama umepewa maana yake Afisa Utumishi wako katoa boko usipobadilishwa una haki ya kudai malimbikizo
  4. mfarisayo

    Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

    Nenda kwa HR wako aangalie status ya upandishwaji wako kwenye mfumo
  5. mfarisayo

    Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

    Unaweza kulaumu ualimu ni mkosi kwa kuwa hujui wengine wanatendewaje. Kwa taarifa yako walimu wana nafuu hata madeni yao yanalipwa kuliko kada zingine
  6. mfarisayo

    Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

    Watumishi walioingizwa mapema kwenye mfumo wengi wameshakuwa approved na hiyo imewafanya baadhi ya Taasisi kutoa barua kwa kuwa wana uhakika mshahara utabadilika na wengine wamesubiri hadi mshahara utoke ndo watoe barua. Kuhusu kupandisha watu kama mtu ana sifa wengi watapanda mwezi na...
  7. mfarisayo

    Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

    Kwa utaratibu wa sasa hupewi barua hadi mshahara ubadilike ili usije kudai malimbikizo. Baada ya payroll au mshahara kutoka na mabadiliko ndo unapewa barua
  8. mfarisayo

    Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Tz kwa sasa ni kula maisha tu Korona itatugusa kidogo kuanzia Disemba, 2021 hadi Machi 2022 baada ya hapo bata
  9. mfarisayo

    Je, picha rasmi ya Rais Samia Hassan (Hijab Nyekundu) ilizingatia "Soccer Diplomacy" baina ya Simba na Yanga?

    Hiyo ni Protocal tai/hijabu nyekundu inamaanisha mamlaka ndo maana alipokwenda Bungeni wabunge waliambiwa wasivae tai nyekundu
  10. mfarisayo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    http://www.hesgoal.com/news/79290/AS_Roma_vs_Manchester_United.html
  11. mfarisayo

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufunga mashine za kujifukiza kwa Wagonjwa

    Wamechelewa sana hizo tiba zilikuwepo toka zamani katika Hospital kulikuwa na kitu kinaitwa steaming tents ambazo ni nyungu. Mjini kuna huduma ya Sauna nayo ni nyungu tu.
  12. mfarisayo

    Kiwanda kinachotengeneza Barakoa zinauzwa Muhimbili kiko wapi na kinamilikiwa na nani?

    Sio Barakoa tu wanatengeneza hadi PPE. Kwa wasiofahamu hizi Hospital kubwa kuna vitu vingi watengeneza hasa consumables kwa ajili ya matumizi yao
  13. mfarisayo

    Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Nafasi hiyo inawafaa zaidi Makatibu wa Wizara wenye uzoefu Mkubwa. Hapo Katibu Mkuu wa TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga anafit vizuri
  14. mfarisayo

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    Tulipomaliza chuo wakati tunahangaika kuomba kazi kulikua na jamaa mmoja yeye alikua anasema tukiona kazi ambazo hatuna sifa zake tumwambie yeye ndo anaomba. Siku moja tukaona tangazo la kazi anatakiwa Mkuu wa Idara kwenye taasisi moja ya Serikali sifa awe na Masters pamoja na uzoefu wa kazi...
  15. mfarisayo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    http://www.hesgoal.com/news/71015/Manchester_United_vs_Manchester_City.html
  16. mfarisayo

    Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Acheni roho mbaya kwa hiyo manataka Mbowe akose ruzuku aishije?
  17. mfarisayo

    Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

    Kumbuka Mama yako ni mke wa mtu hivyo utakua wa ajabu kujifanya unampenda mke wa mtu kuliko mke wako
  18. mfarisayo

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli kakataa treni ya umeme isifike Kigoma bali iende Mwanza?

    Kumbe umeshikiwa akili na Zito! Toa hoja kwa akili zako sio mawazo ya mtu
Back
Top Bottom