Search results

  1. M

    Nini chanzo na tiba kwa mwanamke mwenye hamu ya tendo ila hasikii ladha ya tendo?

    Jaman tusimkatishe ndugu yetu tamaa kwa kumpa maneno makali, kaka nakushauri kamuone daktari kwan haya madawa ya uzazi wampango yasipo endana na homon zamtumiaji huwa yana madhara.
  2. M

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Naomba ushauri wako, nina tatizo la fungus kwenye makorodan, nimeshaenda hospital 3 nikitumia dawa zinapoa ila nikimaliza ugonjwa unarud, nimeenda kwa masai kanipa dawa nimetumia ikatulia kw muda dawa kuisha ugonjwa umerud tena, nikajaribu tiba ya vitunguu swaumu ambayo niliitoa humu jf lakin...
  3. M

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Habari zenu wakuu, samahan naomba msaada kwa wale wataalamu wa magonjwa haya ya ngozi. wapendwa mdogo wangu ana fungus kwenye makorodan tumeenda hospital kairuk tuka pewa dawa, baada ya muda ugonjwa ukarud tukaenda hospital nyingine kama mbili wakatupa dawa za kupaka na kunywa but...
  4. M

    MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    Amakweli mfamaji haishi kutapatapa, hv mbona hawajamaa wanaangaika iv?? Duh! Polen ccm MUNGU alitoa na MUNGU atatwaa chake, ndo mwisho wa enzi
  5. M

    Mbinu hii itawaponza CHADEMA, watanzania kuweni makini

    Mlio tumwa mnaonekana, hadanganyiki mtu kwa sela zenu zakuwapotosha wanamabadiliko, kama unamuona Lowassa hafai hatukulazimishi umpigie kura kwan tuliopo tunatosha, kaz mnayo tafuten mbinu nyingine
Back
Top Bottom