Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa kushirikiana na Hoteli ya Kunduchi Beach, Hospitali ya Agha Khan na Radio ya Efm 97.3, imeandaa matembezi ya hisani tarehe 29 Oktoba, 2016 ambayo yataanzia katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road saa 12.30 asubuhi na kuhitimishwa saa 4.30 katika Taasisi ya...
Cancer can affect everyone – the young and old, including children. It is one of the leading causes of death in the world, where about 70% of all cancer deaths occur in low- and middle-income countries.
According to the WHO, worldwide, the 5 most common types of cancer that kill men are - lung...
Siku ya Saratani huadhimishwa duniani kote tarehe 4 Februari ya kila mwaka katika taratibu ambazo huunganisha azma ya dunia nzima katika kupambana na tatizo linalokua la ugonjwa wa saratani. Siku hii ya Saratani imeendelea kuwa siku muhimu kwetu sote, ikiadhimishwa miaka mitano baada ya utiwaji...
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kwa kushirikiana na Kunduchi Beach Hotel & Resort, Tigo, ITV, Radio One, Epitome Architects, KCB Bank, Apex QS LTD na Mecplan Consulting Engineering wanawakaribisha wanachama wa JamiiForums na Watanzania kiujumla, kushiriki katika matembezi ya Hisani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.