Mwl. Mndeme: Wizi kwenye maduka ya nyama, Mwenge
sijui kama imeshaapostiwa humu,lakini unaweza kufaidika na yaliyomo humu ndani.
Nimeitoa wavuti.com
Kwa wale mnaokwenda bucha kununua nyama munaelewa ni kwa jinsi gani nyama imepanda bei. Kwa sisi tunaogetemea bucha za maeneo ya Mwenge, tangu...
wadau kwa suala la elimu Jk tumpe hongera, kodi zetu na mikopo tunayodaiwa imefanya kazi kwa kiasi chake
chuo kimejengwa na kodi zetu
Pia nimpongeze kwa chuo cha mandela, alicheza penati nzuri chuo kile kikajengwa, World bank walitaka kutoa hizo fedha kupelekea pengine
(Picha kwa hisani ya...
kwa mujibu wa wavuti.com JK anaonekana akitua uwanja wa JKIA kwa kutumia ndege ya Kenya airways kutokea Amsterdam..nauliza hivi hajifunzi kulifufua shirika letu?
kama kenya wanaweza kurusha ndege kwenda HongKong,London, Amsterdam, India nk sisi tumelaaniwa?
Tunajivunia siasa za chama wakati...
WanaJf kwa masikitiko makubwa nimempoteza baba mzazi leo mchana
Mungu ampe punziko la milele.
RIP Mzee Lokissa.
Update
baba yetu lokissa ataagwa kesho IJUMAA Muhimbili kanisa katoliki saa 9 mchana,kisha atasafirishwa Moshi kwa maziko jumamosi.
kwa wale walio dar watakaokua na nafasi nawaombeni...
Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....
Wakuu nawasalimu kwa kuwatakia amani na mwisho mwema wa mwaka 2013.
Tukiwa tunamaliza mwaka 2013 nimeona nije na mada inayohusu Tume ya Mipango na mipango yake.
Ukisoma hapa utaona mapendekezo ya Mpango wa maendeleo ya Taifa mwaka...
Hawa ni viongozi muhimu sijapata ona
Ni pale tuu nilipokutana na mzungu mmoja anayetaka kuanzisha shule za chekechea Tz
Huyu mzungu alinifurahisha sana kwa kusema laiti uongozi huu wa CDM ungelikuwepo madarakani kipindi hiki
Amekaa Tz almost 9 years anasema upinzani anaouona Tz kwa sasa ni...
Wanafunzi wa vyuo vikuu inabidi tujitmbue
Tusikubali kamwe kununuliwa na wasaliti
hali iliyoko kwenye vyuo vikuu inatisha
hakuna vitendea kazi vya kutosha
wanafunzi wanashindwa kufanya mazoezi kwa vitendo kwa kukosa vifaa maabara
wanafunzi wameshindwa kwenda viwandani kufanya mazoezi kwa...
Watanzania wengi ni maskini sana na wanonge
Umaskini huu umesababishwa na mafisadi wa ccm
ccm ni chama kisichowapenda wananchi wake
ccm imewahi sema wananchi wapigwe tuu hata kuwawa
ccm imeficha hela zetu Swiss na kupelekea wananchi kuishi katika umaskini wa kutupa
Watz tuamke tuungane...
Habari za jioni wakuu,
Malumbano yanayoendelea sasa hivi katika siasa ni kwa sababu ya umaskini ulioletwa na maccm
Watu hawana elimu maccm wamewafanya watu kuwa mambumbu kwa kuleta elimu feki
Na hata walio na elimu wakizungumza kidogo wanaonekana ni wabaya wa serekali
Watu wengi wanaoshinda...
'Seven of ten Tanzanians jobless, six live in slums'
By The guardian reporter
25th November 2013EmailPrint
Margaret Nantongo Zziwa, East African Legislative Assembly (EALA) SpeakerSeven of ten Tanzanians are jobless and six live in informal settlements and the gap between the rich and poor is...
Some corrupt Tanzanians, including prominent business tycoons and some top government officials, have secretly stashed away a whopping Sh315.5 billion ($196.87 million) in Swiss banks, The Guardian has learnt.
The amount is a quarter of the amount Kenyas tycoons and politicians have secretly...
Wildlife Conservation Society of Tanzanias links with national authorities were strengthened when Philemon Luhanjo took over as chairman and chief executive officer of WCST. Luhanjo is a close associate of Tanzanias president Jakaya Kikwete, and was previously secretary general of the...
Wana vyuo wa udsm wamekuwa wakihangaika sana
Wanapata usumbufu mkubwa sana wakutumia vyoo kwenye mabweni yao
Vyoo hivyo ni vichafu hakuna mfano, hakuna maji harufu ndo usiseme
Ivi serekali yetu inafanya nini hata maji kwenye sehemu nyeti kama hizi?
Hawa wasomi wetu wako busy kuwaza mazingira ya...
Umofia kwenu,
Leo katika kusoma magazeti ya Kenya nimekutana na topic tajwa.
Kuna mtindo umezuka na upo madaktari wa Kitanzania na hasa wa kiafrika kupenda kuwazuia wanaombatana na wake zao wasiingie ofisini kwa daktari eti privacy. Hivi kuna kuna privacy ya ugonjwa kati ya mume na Mke...
Oneni wenyewe .
kati ya hawa nani kavaa suti kadiri inavostahili?
Angalieni namna ya ufungaji wa vifungo.
Nijuavo kishikizo cha chini hakifungwi
Update
hebu tumwangalie JK akiwa Austria kipindi hiki cha autumn pasipo na baridi wala upepo
sijui washauri wake hawakujua majira ya nchi husika...
Wakuu heshima zenu
Kushindwa kwa ccm ni kwa sababu ya mambo 2 makubwa
Mosi: ni huduma mbovu kwa wananchi.Wananchi wamechoshwa na ccm maana ni chama kisicho wajali wananchi wakeChama kilichoua elimu, viwanda vijana wengi hawana kaziCCM inahakikisha hakuna hospitals nzuri ili biashara yao ya...
Habari JF,
Obama alipoulizwa swali kwa nini hakwenda Kenya alisema kwa sababu viongozi wa nchi hiyo wa juu wanashitakiwa kwenye mahakama ya kihalifu. Na kosa lao kubwa ni mauaji yaliyotokea hapo nyuma. Mimi nimejiuliza laiti Obama huyo huyo angelijua unyanyasaji unaofanywa Tanzania, ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.