Search results

  1. T

    Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

    Lazaro Nyalandu ambaye awali alikuwa anajulikana kwa jina Hamisi..... Nimesoma nae Kibaha o- Level. Haaminiki na wala si mtu wa kumpa dhamana ya kuwaongoza watanzania. Ni bishololo na kimsingi anachokifanya sasa ni kutaka kupata attention for persona gain. Sijui kama kuna maana ya kufanya...
  2. T

    Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

    Nakubaliana na wewe kaka. Nimesoma nae darasa moja O-level Kibaha Secondary. Ni mtu ambaye anajificha nyuma ya ya kivuli cha dini na wala si mtu wa kumwamini. Nakumbuka alipoanza Form One alikuwa anatumia jina Hamisi ambalo alilibadilisha baadae na kuwa Lazaro. Ni kweli alikuwa anapenda sana...
  3. T

    kumbe polisi kwa amri ya ccm walipigia raia wengi risasi arusha!

    Maskini polisi wa Tanzania ,kupumbazwa kwa namna gani huku? Wakati umefika mtathmini hata mafunzo mnayopata? badala ya kuelimishwa inawezekana mnajazwa ujinga. Tafakarini
  4. T

    Mbowe kuhusu baraza la mawaziri

    Baraza la Mawaziri ni Kubwa sana. Baadhi ya Wizara hazikustahili kabisa kuwa hata na Manaibu Waziri. Sijui Manaibu Waziri wana kazi gani katika nchi hii. Wenzao wa Kenya waliwahi kulalamika kwamba hawana kazi. Lakini kwa watanzania hawawezi kufanya hivyo kwa sababu kwa hulka yetu sisi si wapenda...
  5. T

    Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

    Ni ukweli usiopingika kwamba umaskini wa watanzania ni mtaji wa kuendelea kutawaliwa na CCM. Kampeni za mwaka huu na miaka iliyopita zimeendelea kudhihirisha kwamba CCM haina nia ya dhati ya kuleta maendeleo katika nchi. Watanzania wengi tumekuwa tukinunuliwa na vijisenti ili hali tunaendelea...
Back
Top Bottom