Search results

  1. K

    Slaa anakubalika FB kuliko JK !!!

    Na tuone nani shujaa chadema, Mbowe,Zitto au kivuli cha wachaga Slaa
  2. K

    Slaa anakubalika FB kuliko JK !!!

    Ndo Rais wa nchi yako Kama hupendi hama, kubali yaishe endelea na maisha yako. We ndo taahila unayeishi dunia isiyokuwepo
  3. K

    JK anajifanya yupo busy kuandika katika uzinduzi wa U-DOM.

    Kama kuna mazuri tusifie na Mabaya tukosee, acheni kuwa Kundi la Hapana! Hatutafika!
  4. K

    Elections 2010 CCM yatoa tamko kuhusu kitendo cha wabunge wa CHADEMA

    Bahati mbaya sana kwa chadema sababu kwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini wamejiona wako karibu sana na ushindi...ndoto za mchana hizo, serikali imeliona hili na watabana kote waliookuwa wamewalegezea. Sio hatia nzuri kwa wanachadema sababu Richmond hakuna Tena :) sijui safari hii nini...
  5. K

  6. K

    Chadema wagawanyinga

    Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.
  7. K

    Hi, am a new member!

    New to jamii forum, I can't wait to participate in diferent topics, can't wait.
Back
Top Bottom