Search results

  1. S

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Habari zenu wanajamvini, Ninaomba msaada, nimenunua kiwanja maeneo ya Makongo Juu, sasa ninataka nianze ujenzi wa Ghorofa moja, chini kutakuwa na sitting room, dinning room, jiko, choo na chumba kimoja halafu juu kutakuwa na vyumba vitatu, kimoja master na toilet. Naombeni ushauri wenu...
  2. S

    Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Mie nataka kuja uko next year mwezi July, vipi utakuwa bado upo uwe mwenyeji wangu jaman
  3. S

    Naomba kujua mtaji wa kawaida kwa mtu anaeitaji kuanzisha gym

    Habari zenu wapendwa jamani mie nimekuwa na wazo la kuanzisha gym, naombeni mawazo yenu maana sio mzoefu sana na mambo hayo ila naona ni business nzuri, tatizo nilitaka kujuaa ni upatikanaji wa vifaa, eneo la biashara hiyo na changamoto mbalimbali naomba michango yenu jamani, na hata mtaji...
  4. S

    Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Hivi unajua vyombo vyetu vya usalama inawezekana alitoa taarifa ila imefichwa achana na kufa, na labda alitishiwa kuuwawa, nahisi akaona bora afe peke yake maana wauwaji wakija wanaweza teketeza familia nzima bora afe pembe yake
  5. S

    Sugu amuumbua Waziri Magufuli

    Sasa wewe mbona haupo sawa, mara umsifie huyu magufuli mara na wewe ulalame vipi wewe? Haujijui ulipo ungekuwa unajijua ulipo usingeandika huu ----- wako hapa
  6. S

    Msaada jamani Tumbo linanisumbua

    Habari zenu wanajamvini, naombeni ushauri mwenzenu kila nikila kitu naenda kuharisha kuanzia jumatatu msaada jamani ni ugonjwa gani kabla sijaenda hospital
  7. S

    Maziwa ya kopo yanayofaa kwa mtoto mchanga

    Nenda pale shoppers plaza duka linaitwa Little Inspiration bei ni 130,000
  8. S

    Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

    Ila ndugu yangu ile protein ya usiku wa manane wanayopewa ni kali sana especially ukiwa ndio uliyoitaka
  9. S

    Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

    Kweli kabisaa! Wakipata wanapumzika na kuanza kufanya yao ambayo walikuwa wanatafuta hiyo ndoa
  10. S

    Napoteza Rafiki yangu jamani nisaidie

    kwani kulikuwa na ulazima wa kujibu! jiheshimu
  11. S

    Napoteza Rafiki yangu jamani nisaidie

    Habari zenu wanajamvini, majuzi nilitoa hela Tigo pesa 500,000 nkampa huyo rafiki yangu azihesabu coz nilikuwa nadrive zen achukue mkopo anaotaka maana aliniambia hana hela anataka nimkope, kwenye gari kulikuwa na dada mwingine sasa wakati yule shost anahesabu hela akanipa laki mbili yeye...
  12. S

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Naombeni msaada wenu mwanangu anamiezi saba sasa hivi akijisaidia haja kubwa yaani analia mpaka basi na choo chake ni kimugu mno. Vyakula tunavyompa ni uji wa dona tunaweka chumvi siku nyingine sukari, viazi na ndizi pamoja na maziwa yangu na formula, majuzi nilimpeleka hospital dokta...
  13. S

    Kujifungua kwa operation muda muafaka ni upi wa kuanza mazoezi

    Msaada tafadhali toka nijifungua sasa ni miezi saba nilijifungua kwa operation, hivyo mazoezi ilikuwa ngumu kuanza kutokana na mshono, nilikuwa nataka kujua ni muda gani muafaka wa kufanya mazoezi ili niweze kupungua kama mjuavyo mtu ukiwa mzazi vyakula vile lazima ule ili mtoto apate maziwa ya...
  14. S

    Mtoto mchanga jamani naomba msaada

    Wakati nikiwepo ananyona maziwa yangu hayo ninayokamua nakuwa nimetoka kwa job maziwa yamejaa so mtoto anayonyaa huku ziwa jingine yanamwagika ukimbadilisha huku the same yanamwagika huku so napump maana yanamwagika acha yaani sipopump usiku ntajikuta mwili wote unamaziwa kitanda chote kimelowa...
  15. S

    Mtoto mchanga jamani naomba msaada

    Barikiwa sana ntalifanyia kazi
  16. S

    Mtoto mchanga jamani naomba msaada

    Hapana ni maziwa tu tena mara nyingi na maziwa yangu ya kopo nimeweka incase siunajua barabara zetu hizi! bado sijamuanzishia chakula chochote, nashukuru kwa ushauri ntampeleka kwa mganga wa watoto
  17. S

    Mtoto mchanga jamani naomba msaada

    Habari wanajamvini natumai wote wazima, mtoto wangu wa miezi 5 anakaa siku 3 ndio anajisaidia aja kubwa naombeni msaada hii imeanza baada ya mie kuanza kazi sababu namkamulia maziwa yangu yakiisha kabla sijarudi nyumbani wanampa maziwa ya Kopo lactogen sasa sijui chanzo ni hicho msaada please.
  18. S

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Jamani hebu nenda kanisani ukaombewe maana maandiko yanasema hakuna linashindikana kwa Mungu nenda kwanza kanisani ukaombewe, mie kuna dada namfahamu yupo pale Ubungo KKKT, Nyuma ya Ubungo plaza anaona watu kila jumanne kuanzia saa tatu asubuhi hadi jioni anatakusaidi.
  19. S

    Msaada Jamani

    Habari wanajamvini, Kuna rafiki yangu ananyama sehemu ya aja kubwa, je huu ni ugonjwa gani na unatibika maana yeye anasema ni ugonjwa wa kurithi maana baba yake anao, dada na kaka yake, majuzi hapa umemsumbua sana kaenda hospital tofauti tofauti anapewa dawa tu bila kupona je kuna mtu...
Back
Top Bottom