Hivi sisi tukoje jamaniiiiiiiiiiiiiiii???????????:embarassed2:
Mbona mambo kama haya kila siku????????????:yell:
Enyi mlioko ndani ya serikali ya CCM huwa mnajisikiaje wananchi pindi tunapopata taarifa zenye kukatisha tamaa kama hizi huku sisi tukiendelea kuzongwa na umasikini kila kona...
...Kamanda Mawazo; wee acha tu !!!!!!!!!!!!
CHADEMA Makao Makuu, chonde kati ya vijana wetu kibao ndani ya chama na juhudi zao zisizoelezeka kule mashinani kote nchini, napenda kuleta kwenu ombi langu kwenu kuwatambua kwa namna ya kipekee hawa wenzetu akiwemo Kamanda Mawazo, Ally Bananga, Ben...
Miaka michache tangu kuuawa kinyama kwa mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi, hatimaye Kamanda Kamuhanda apata pongezi na kutambulika kwa mchango wake murua kwa kupandishwa cheo kwa mshangao wa kila mpenda haki nchini.
Daud Mwangosi akiwa katika mkutano wa Mkuu wa Polisi Iringa siku...
Haya sasa, tangu niseme ya Roho ya Marehemu Mwangosi kuwarudi wabaya wake kule CCM hata dakika tatu hazijapita mpaka watu tunapata ujumbe huo hapo chini. Jisomeeni wenyewe tu humu.
Kibaoni ni jirani sana na Nyololo ambako CCM ilikomchinjia mwandishi wa habari wa Channel Ten, maarufu nchini, Daudi Mwangosi.
Mpaka leo hii hakuna hata mtu mmoja aliyeweza kutiwa hatiani kwa mauaji yake zaidi ya geresha za hapa na pale tu.
Hivyo wala sintoshangaa kuja kugundulika ya kwamba...
Kwa mtaji wa huo msaada unaotarajiwa kutoka Jamaica, taifa masikini mwenzetu katika lile kundi la mataifa ya Ulimwengu wa Tatu licha ya kujawa na walimu Grade A na Diploma kibao nchini ambao hawajapata posting tangu enzi za Waziri Mungai, Tanzania sasa tujiandae kupata kundi kubwa mno la...
Mhhh!!!!!!!!!!!!!
What a myopic way to look at SECURITY RISK SPOT issue of this magnitude of international significance yet ignoring the likelihood aftermath of a sweeping influence on future Foreign Direct Investment flow avenues and how Quality Investment point-of-investiment destination...
Yaliosemwa na Ndg Kinana ni ukweli na ukweli mtupu; hakuna kitu kinachotukera kufa na hii serikali ya CCM kama mazoea ya KUAMULIWA MIRADI YA MAENDELEO NA 'KILE KILICHOCHEMA KWETU' kukifanya na uongozi kutoka juu ni msiba kwa malengo yote ya wananchi kujipatia maendeleo yanayokidhi matakwa yao ya...
The infamous Tanzania's Nyololo broadlight coldblood shooting under the nose of Regional Police Commander, Kamuhanda, is by all measure a historical strongest case of a State premeditate killing of an innocent law-abidding citizen in the course of his journalistic work;
... a typical scene of...
Ni aina gani ya elimu ambayo Prof Muhongo anadai kuwapa BAADHI YA WANA-MTWARA juu ya gesi; je ni elimu ya KUKUBALIANA NA SERIKALI, iwe isiwe, kwa chochote kile kisicho na maslahi kwao au ilikua ni elimu ya kuwaelekeza Wana-Mtwara kupata fursa ya MAONI YAO KUZINGATIWA KAMA NDIO MSINGI WA MRADI WA...
Swali midomoni mwa kila mpenda amani ni kwamba je nako kesho Rais Kikwete ataendelea kutumia FFU na Mizinga ya kijeshi kukandamiza uhuru wa kikatiba Wana-Mtwara unaowaruhusu kufanya maandamano ya amani KUPINGA KILE WASICHOKUBALIANA NACHO bila ya kubughudhiwa na mtu au chombo chote kile???????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.