Search results

  1. Z

    Asante Rais Samia kwa hotuba nzuri Siku ya Wanawake Duniani

    Mimi binafsi namshukuru sana Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania kutokana na yale yaliyojiri jana tarehe 8.3.2023 alipokuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa kina mama wa Chadema (BAWACHA). 1. Kwanza kabisa namshukuru sana kwa kusema HATA YEYE anasoma Jamii Forums. Hii ni tofauti...
  2. Z

    Kusimamishwa kwa mchungaji Kimaro KKKT Mashariki na Pwani

    Nadhani watu wengi hawaelewi ni kwa nini wapenzi wa mahubiri ya Mch Kimaro, na waumini wengi wa Kanisa lake la Kijitonyama WAMECHUKIZWA SANA NA KUSIMAMISHWA KWAKE. Naowaomba wanaowalaumu wanaomtetea Kimaro waelewe yafuatayo:- 1. Hakuna Mkristo yeyote ambae haelewi kwamba kulingana na dhehebu...
  3. Z

    Kiwanja mt 40×20.kinauzwa Olasiti Arusha

    Kiwanja cha mita 20 kwa 40 kinauzwa Olasiti Arusha. Kipo sehemu nzuri sana jirani kabisa na Sekondari ya Olasiti, jirani na Kanisa la Lutheran na jirani na Kanisa Katoliki. Pana umeme na maji. Barabara inafika mpaka getini kwako. Ni eneo ambalo nyumba zilizojengwa hapo zina hadhi ya juu tofauti...
  4. Z

    Naomba ufafanuzi kuhusu mamlaka ya spika kuamuru polisi nje ya bunge kukamata watu.

    Nakuombeni nyie mliobobea katika mambo ya sheria na katiba ya nchi yetu mfafanue hili jambo. Navyofahamu, spika anaweza kutoa amri kwa askari wa bunge wamkamate mbunge na kumtoa nje. Lakini je, spika anapotoa amri kwamba mbunge fulani akamatwe popote alipo nje ya bunge, hiyo amri anaielekeza...
  5. Z

    Viwanja viwili vinauzwa Arusha Olasiti

    Viwanja viwili vilivyoshikana vya mita 20 kwa 20 (yaani ni kiwanja kimoja cha 20 kwa 40) vinauzwa. Viko sehemu nzuri sana Olasiti Arusha. Ni kama mita 700 tu kutoka barabara kuu inayotoka Olasiti kwenda mjini ambayo iko kwenye mpango wa kuwekwa lami na imeshawekwa murram. Umeme na maji ya...
  6. Z

    Nyumba self contained ya room mojaau mbili inatafutwa Dar.

    Nyumba self-contained (yenye choo cha ndani) inahitajika kuanzia tarehe mosi July. Iwe ya chumba kimoja na sebule, jiko na dining room (lakini hata vyumba viwili sio mbaya kama bei sio mbaya sana}. Iwe na parking ya gari, iwe na maji na umeme. Hata kama ni servants' quarters ni poa tu. Isiwe...
  7. Z

    Je, tunao wataalamu mahiri wa mtandao wa kutosha kuzuia uharibifu?

    Hivi kweli, hapa nchini tunao wataalamu wa compyuta walio mahiri vya kutosha kuweza kuzuia uharibifu (hacking) katika ile mitambo ya kukusanya kodi ambayo Mhe Rais aliizindua siku chache zilizopita? Ni wiki iliyopita tu tulisoma kwenye vyombo vya habari namna ambavyo nchi zilizoendelea zenye...
  8. Z

    Kiwanja sq mt 1256 kinauzwa Goba.

    Kiwanja sq mt 1256 kipo Goba sehemu nzuri sana kimepimwa. Bei sh 20,000 kwa sq mt
  9. Z

    Wanasheria fafanueni matamshi ya Mh. Waziri Kairuki

    Matamshi ya Mh. Waziri Angela Kairuki yamenichanganya mimi na naamini Watanzania wengi pia wameshituka. Ni kweli Katiba yetu inasema ili mtu awe kiongozi wa kisiasa analazimika tu kujua kusoma na kuandika lugha ya taifa. Kama ndivyo, mbona kuna mtu aliyekuwa mbunge wa kuchaguliwa lakini ubunge...
  10. Z

    Watanzania tumwombe Mungu sana maana inaonekana tunakoelekea siko

    Wakati unapotokea ukame Watanzania wa dini zote wanamwomba Mungu na mvua inanyesha. Hali tuliyonayo sasa ni mbaya sana kuliko ukame mkali. Tunaelekea kuwa Tanzania ya kubaguana, chembechembe za ukabila zinaonekana, uonevu umeibuka na utu unaonyesha kutoweka. Kama utu haujatoweka kwa nini watu...
  11. Z

    Wadada naomba mjibu, nini haswa kinakufanya ukubali kuwa nyumba ndogo?

    Nawashanga sana ninyi wadada. Unajua kabisa mtu ana mke wake lakini unakubali uwe nyumba ndogo yake. Kwako huyo mwanamume halali. Anamaliza mambo yake na kurudi kwa mkewe. Usiniambie eti ni "ufundi' wake kwenye mavitus au anavyoku-handle maana ulimkubali kabla hujagundua alivyo. Tena walio...
  12. Z

    Utajuaje unapendwa toka rohoni?

    Wana JF hebu changieni kila mtu aeleze anajuaje kwamba mpenzi wake anampenda kweli toka rohoni? Nasubiri michango yenu.
Back
Top Bottom