Search results

  1. Z

    Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Sababu kuu ziko tatu. 1. Mke anadai vitu vya gharama kubwa ambavyo havina umuhimu (k.m. wigi la laki tatu, i-phone latest n.k.). Kijana akishajua akimwoa binti atadaiwa vitu hivyo, hawezi kumwoa. 2. Umasikini wa mwanaume kukosa kipato kunamfanya mwanaume awe na msongo wa mawazo saa zote...
  2. Z

    Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

    Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe. Wewe NI MPUMBAVU, umeshavunja nyumba yako. Eti umempima? Ningekuwa mimi yeye, NINGEFANYA KWELI na nimlete huyo mbele yako (maana ndicho ulichokitaka)
  3. Z

    Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

    Ni kina dada wachache sana, hasa wenye shepu nzuri ambao hawatoi mimba, au kula madawa ya kuzuia mimba au kufanya umalaya mkubwa (japo hawakai kwenye madanguro kama yale ya yaliyobomolewa milango juzi juzi Dar. Hao wasichana wakishajiona ni wazuri, wanadhani kwamba watapata waume hata kama...
  4. Z

    Badala ya kushughulika na elimu inavyoharibiwa shule binafsi, unashughulika na nyimbo za Zuchu ili nawe uonekane unafanya kazi!

    WaTz ni wanafiki mno wa kutisha !! Hakuna mtu anayejali mwingine anapata shida gani. Sasa kama huna kazi, ukipewa kazi ya mshahara laki mbili na huulizi au ukiuliza hupewi mkataba, unataka serikali ikutetee vipi? Unadhani kuna kiongozi yeyote atakayeenda popote kuangalia mambo yanaendaje kama...
  5. Z

    Niokoe niiokoe familia yangu

    Mwambie na wife atafute vibarua vya hapa na pale. Na wewe wakati hujapata kazi usichague, ikiwa mtu hana kazi inakuwa VIGUMU SANA kupata ingine
  6. Z

    Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

    Mwambie AACHE KABISA !!! AACHE KABISA !! Atafute internet ni Waingereza wangapi hawana ajira. Anadhani yeye akienda atapataje?? Issue nzima ni UTAPELI MTUPU !!
  7. Z

    Kaniuliza nimempendea nini na yeye siyo mzuri, nachomokaje hapa?

    Kila mwanamke anapendwa kudanganywa-danganywa kuhusu uzuri wake. Kama ni mweusi mwambie ni black beauty, kama ni rangi ya chungwa mwambie ndio rangi unapenda. Yaani inakuwaje unashindwa kuona HATA KITU KIMOJA CHA UKWELI ALICHONACHO CHA KUMSIFIA ???
  8. Z

    Naombeni ushauri wenu kwenye hili

    Kama ameshasema ANATAKA AKUHARIBIE KAZI MWACHE KABISA. Kwani akija ofisini si UNAKATAA TU KUMWONA? Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kusikiliza uongo wake. Ukimwona, nenda kwa boss mwambie anakutongoza na WEWE HUMTAKI !! Mwambie boss unaomba aondolewe kwa nguvu
  9. Z

    Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

    Kama hamjajua hili ni TANGAZO LA BIASHARA !! Ni mdangaji gani uliyemwona ana hela kweli kweli? Kwani "wife material" wakiolewa hawapewi magari ya kutembelea na vingine vyote mdangaji anavyopata? Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  10. Z

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Hata kama Membe kafa, deni liko pale pale. Na msimamizi wa mirathi hataweza kumsamehe Musiba kama ambavyo angefanya Membe mwenyewe. Hivyo, kifo cha Membe ni kibaya zaidi kwa Musiba hata kama atakuwa "anachekelea" sasa
  11. Z

    Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Mwanamke akiwa kiruka njia, hata kama husafiri popote ataigawa tu !! Ni kama mwizi !! Akikuta hata elfu moja mahali "atailia timing" ili aiibe
  12. Z

    Ejaculation is the only sweet feeling of sex for male person!

    Utamu HAUPO kwenye K wala dhakari. UPO AKILINI !! Ndio maana, ukikutana na mwenye harufu mbaya hutaki hata kuanza tendo lenyewe.
  13. Z

    Human beings are unequal

    Tunafanana kwenye "ubinadamu" tu (yaani wote tunazaliwa na kufa, tunakula na kunywa maji tuishi, na tuna mahitaji mengine yanayofanana yaani kuendeleza uzazi). Lakini KIUWEZO KAMWE hatuwezi kufanana. a) Siku wanaume wataweza kubeba mimba au wanawake watakuwa na misuli kama wanaume, ndipo...
  14. Z

    Asante Rais Samia kwa hotuba nzuri Siku ya Wanawake Duniani

    Mimi binafsi namshukuru sana Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania kutokana na yale yaliyojiri jana tarehe 8.3.2023 alipokuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa kina mama wa Chadema (BAWACHA). 1. Kwanza kabisa namshukuru sana kwa kusema HATA YEYE anasoma Jamii Forums. Hii ni tofauti...
  15. Z

    Kwaresma inapotosha Wakristo. Yesu hakufunga siku 40 ili akateswe, alifunga ili aanze huduma yake

    Uliyeweka hii post HUJASOMA BIBLIA, WALA HUJUI ULICHOKIANDIKA. Hiyo ya kutokula nyama Ijumaa ni "amri" ya hilo dhehebu lako. Haiko ki-Biblia, lakini dhehebu lako lina vitu lukuki ambavyo haviko kibiblia. Hujui ulichoandika na hujasoma Biblia maana hakuna mahali Biblia iliposema Yesu alifunga...
  16. Z

    Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Kuna elimu ya darasani na elimu ya maisha. Wapo ambao wana elimu ndogo sana ya darasa lakini wamefaulu sana maishani. Wenye ma-PhD ya darasani wakawa si lolote wala chochote. Ndio maana historia ya nchi yetu ina takwimu ya mawaziri kibao na viongozi wa mashirika makubwa ambao waliaminiwa...
  17. Z

    USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

    Amejifunzia boarding. Mweleze kwa utaratibu madhara YOOOTE ya kujichua. Mshauri ajitahidi kuacha. Mwambie kila baada ya siku tatu aje akweleze kama amefaulu kuacha. Mwambie ajaribu kuacha, ataweza tu
  18. Z

    Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

    Wewe mtoa mada hujui ulipo, upo kwenye giza totoro. Ni ushabiki tu wa dhehebu lako ndio unakufanya uweke post kama hii JF. Ukitaka kujua MAOVU MENGI SANA yaliyofanywa na Kanisa Katoliki, nenda kwenye internet utafute History of the Roman Catholic Church. Zaidi ya hayo maovu, mambo ambayo...
  19. Z

    Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

    Kamwe huwezi kulinganisha akili ya mwanaume na ile ya mwanamke kwa sababu wameumbwa kwa namna tofauti. Sehemu ya ubongo wa mwanamke ambayo inafanya kazi ni tofauti na ya mwanaume. Kwa mfano, mwanamke ana uwezo wa kufanya mambo kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa mfano, anaweza kuwa anasuka sweta...
  20. Z

    Nimefanikiwa kununua simu ya galaxy S23 plus na ford ranger ndoto yangu imetimia

    UONGO !! Hakuna anayejipatia vitu vizuri akaja kutangazia umma, labda awe amefyatuka akili
Back
Top Bottom