Search results

  1. anyahucho

    Elimu bure, matibabu bure kuanzia kilimanjaro 2010-2015

    Ndugu angalieni tusiweke ukabila, kinachotakiwa ni kwamba elimu bure iwe kwa watanzania na si Kilimanjaro, kumbukeni kodi zote za watanzania zisaidie watanzania wote, Tukiungana pamoja twaweza daima. Tuhimizane kuwa na maendeleo kwa wote maana watoto ni wetu sote, Kenya wameweza kwanini sisi...
  2. anyahucho

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Tanzania haina UDINI ila inawezekana baadhi wa viongozi ndio wanaoleta UDINI, na inawezekana wanaoimba kuwa wa Tanzania tusiingie kwenye udini ndio hao wanataka udini uanze kwa manufaa yao binafsi, Watanzania tufunguke macho na tuamue nini tunataka, kwa miaka kadhaa tumekuwa na amani na uhuru...
  3. anyahucho

    Gen. ABDALMAN SHIMBO UPO WAPI JAMANI....!??

    Jamani, kumbukeni majukumu ya Majeshi yetu (Polisi, Magereza, Jeshi la wananchi n.k) kuhusu kutekwa kwa basi hilo ni jukumu la Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi wa Tanzania haliwezi kukurupuka na kwenda kuwasaka majambazi ambao Polisi wanaweza kuwamudu, chamsingi ni jeshi la polisi lijipange na...
Back
Top Bottom