Search results

  1. F

    Kuna nini Kwenye Thread za Magufuli na Lowassa

    Tz mpya inakuja. Kila la heri ENL
  2. F

    PICHA: Mama Regina Lowassa Atua Kwa Kishindo Jijini Mbeya

    Mungu akulinde mama yetu
  3. F

    Huyu ndiye atakayeshinda Urais 2015

    Wanaotaka kushinda kwa njia ya wizi wa kura hawatoweza. Nguvu za Mungu zitadhihirika
  4. F

    Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikaangoni kwa dakika 150

    Nisikiapo neno TWAWEZA na Star TV napatwa na jazba sio kidogo, kwa sababu wanashiriki kutuharibia nchi yetu hii
  5. F

    Faida na hasara za wagombea kuhudhuria/kutohudhuria mdahalo hapo kesho

    99% ya waTz weshafanya maamuzi, kama ww bado, jua una kichwa kigumu
  6. F

    Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikaangoni kwa dakika 150

    Sisi wananchi hatuhitaji mdahalo kwa tayar tushafanya maamuzi ya kui delete ccm na hatubadiliki.
  7. F

    Uvaaji wa Skafu za CHADEMA imekuwa mtindo mpya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza na Arusha

    "Walioko upande wetu ni wengi kuliko walioko upande wao" Tz mpya inakuja
  8. F

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Mungu ana nguvu kuliko shetani.- ENL FOR PRESIDENCY!
  9. F

    MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    Ccm gonna die natural death
  10. F

    Msafara wa Mama Regina Lowassa wasimamishwa akielekea Mbeya

    The brilliant First Lady ever
  11. F

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Saizi ya Makufuli ni Mbatia, sio ENL heavy weight
  12. F

    Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

    Siku zote Mungu ana nguvu kuliko shetani. Huyo anaepanga kuiba kura ni wazi kuwa anaongozwa na shetani na huyo anaepanga kuzilinda kura anaongozwa na Mungu. Mungu ni mshindi siku zote.
  13. F

    Lazaro Nyalandu: Kipaumbele changu ni Elimu, Elimu, Elimu kama Lowassa

    Mawaziri mizigo wa JK. Ccm ikifa ni sahihi kabisa
  14. F

    Msukuma wa Geita azomewa

    Naiona Tz mpya ikizaliwa! Tusiache kumshukuru Muumba wa Mbingu na nchi
  15. F

    Elections 2015 Magufuli ataja mafisadi CCM

    Ccm hawana jipya. Huyo makufuli kama ana nia ya kweli ya kupambana na mafisadi, atoroke aje
  16. F

    UKAWA Bukoba Mjini wapigwa mabomu wakielekea kumpokea mgombea mwenza wa CHADEMA Babu Duni

    Hao ccm hawana lao, wanachokifamnya ni sawa na kuzima moto kwa petrol.
  17. F

    Watu wafurika Hotel Mwanza kumuaga Lowassa akienda Mbeya

    Kuna watu wana chuki sana na ENL, ila hamufikii robo ya wanaompenda. Jiandaeni kisaikolojia maana baada ya kura kuhesabiwa mtaumia sana
  18. F

    Kulinda Kura tunadanganyana

    Tutatumia periscope
  19. F

    Hivi Magufuli anatuchukuliaje watanzania?

    Ukiishabikia ccm kuna mawili. Eidha unanufaika na mfumo dhalimu uliopo, au ni mbumbumbu wa kutupwa- usiefaa kwa lolote
Back
Top Bottom