Search results

  1. K

    Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

    Najaribu kuwaza nje ya box. Hizi drama haziwezi kuwa ni mazingira yanaandaliwa kumwezesha kutokea Mahakama ya rufaa?
  2. K

    Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

    Najaribu kuwaza nje ya box. Hizi drama haziwezi kuwa ni mazingira yanaandaliwa kumwezesha kutokea Mahakama ya rufaa?
  3. K

    Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Ni uungwana kukiri hadharani. Nimefuatilia mazungumzo husika club house - kweli Lissu ana kipawa cha kipekee sana kuelezea issues na kukumbuka issues. Kukiwa na Presidential Debate na candidate yeyote ataupiga mwingi sana.
  4. K

    Membe angefanya kampeni 2020 angepata kura nyingi kuliko Tundu Lissu

    Jina la John the Baptist lina heshima kubwa sana kwa wasoma Biblia. Alisimamia ukweli bila kujali cheo cha mtu. Unakiamini kweli ulicho kiandika hapa?
  5. K

    Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Kwa kauli yake mwenyewe - kumbe swala la kustahafu ubunge 2025 lilishapangwa kabla na mikakati ya hatua inayo fuatia ilishapangwa pia. Mdogo mdogo mambo yanaanza kuwa hadharani juu ya taharuki iliyoibuka chamani mpaka kupelekea jamaa kuachia ngazi kwa kasi ya 5G na vijembe vya chifu Hangaya...
  6. K

    Nilichojifunza leo katika Ibada ya Ijumaa Kuu

    Ewe mkatoliki, Kanisa Katoliki halina MISA YA IJUMAA KUU!!! Baada ya Ibada ya Misa ya Alhamisi Kuu jioni kanisa katoliki haliadhimishi tena MISA yoyote mpaka MISA YA MKESHA WA PASAKA Jumamosi Kuu usiku
  7. K

    Utabiri wa Lema kuhusu Makonda watimia, Hongera sana

    It is true, Makonda is still very young! BUT your hypothesis could hold water if there were no criminal offences involved. Jinai haifi wala haizeeki. Ukiingia uongozi wowote wenye kuheshimu utawala wa sheria na kuziruhusu mahakama kutimiza majukumu yake kwa uhuru kamili, hatakwepa mkono wa sheria.
  8. K

    Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

    Haya ni madaraka ya kulevya - ila mwisho wake hauko mbali
  9. K

    Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Sikushangai - wachawi wakikosa wa kumloga wanaloga mpaka mbwa koko! Pole kwa kukatwa kilimilimi & kisabisabina!!!
  10. K

    Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

    Mazingira ya Lissu kuibiwa Passport yanaweza kweli kuwa tata, ila swala la yeye kuomba Rais asaidie yeye kupata Passport nyingine nalitazama kwa kuzingatia mazingira aliyo ondokea Lissu baada ya uchaguzi 2020. Passport ilipatikana kwa kuwa fasttracked na wale Mabalozi waliokuwa wamempa hifadhi...
  11. K

    Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Kwa hili napingana na Dkt Boganza. Lissu kafanya vema sana kusema ukweli & uwazi wa kilicho zungumzwa! La sivyo wachawi wasingekawia kumtungia stories za kusaliti au kusalimu amri!
  12. K

    Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Ukatili mkubwa + Kinyongo/roho ya kisasi + Wasio julikana.
  13. K

    Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

    Nadhani angekuwa Denis fake, vijana wake wa mafunzo akina Adamoo wasinge kalia kimya jambo hilo. Discrepancies kwenye maelezo yake pengine zina thibitisha mashaka ya wengi kwamba alitiwa kibano cha kutosha alipokubali ku compromise akalishwa hiyo script iliyo andaliwa na kina Kingai. Kina...
  14. K

    Afande Sabasita (Patrick Frank Matei Kimaro) achimba kaburi nyumbani kwake

    Jamaa mbinafsi sana. Hana mke? Yeye atazikwa wapi?
  15. K

    Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

    Kwa nini hamkutumia script hiyo kumweka Mbowe lupango badala ya hii ya kubumba inayo watia aibu mahakamani?
  16. K

    Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Kazi ya kusimamia mawaziri ni ya PM - Kassimu akae mkao wa kunyolewa! Bunge likishapata Spika, hiyo kazi ya Lukuvi ya usimamizi wa mawaziri inaanza rasmi kwa jina lake kupelekwa Bungeni kuthibitishwa!!!
  17. K

    Rais Samia anarudisha mikutano ya hadhara ya vyama siasa

    Vyama vya siasa kufanya siasa (including mikutano ya hadhara) hakuvunji sheria wala Katiba. Kuvizuia vyama vya siasa kufanya siasa ndio kuvunja Katiba ya nchi na hapo hakuhitajiki mjadala wa msajili & polisi bali kufanya rejea kwenye vipengele husika vya Katiba kwa utekelezaji katika ngazi zote...
  18. K

    Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Hivi kulazimisha ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge, miti milioni ngapi tena vile ilikatwa? Na hilo likafanyika kwa ubabe mkubwa licha ya taarifa lukuki za ongezeko kubwa la hewa ya ukaa duniani!!!! Tukiitwa "shithole country" tunavimba kama vifutu
Back
Top Bottom