Search results

  1. D

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi Niko wilayani Rombo hususan mnara wa Hakwe. Siku za nyuma internet ilikuwa nzuri sana lakini baada ya voda kuongeza mnara wa Ngoyoni imekuwa ya shida na ya kuoteaotea. Shida ni nini?
  2. D

    Wenye vyeti feki kulipwa mafao yao..

    Ni vizuri sana serikali imefanya! Naona gazeti LA Uhuru la Leo limebeba habari hiyo.
  3. D

    Bunge laonya wakuu wa mikoa kuzalilisha watumishi wa umma

    Naona kwa siku za karibuni Wakuu wa mikoa na wilaya wanatumia common sense zaidi kuliko mihemko. Big up!
  4. D

    Mazishi ya baba yake Selasini kuwa vita kati ya CHADEMA na CCM?

    Mazishi ya baba yetu hayawezi kuwa vita ya kisiasa hata kidogo.Mh Selasini na Lamwai wana upeo mkubwa sana kwenye hizi shughuli za kijamii na ndio wanaoratibu suala lote la Msiba. Nawahakikishieni kuwa mazishi yatakuwa shwari na itifaki itazingatiwa mwanzo hadi mwisho. Naomba suala hili...
  5. D

    Nape azindua mpya ya CCM "Vua gamba vaa uzalendo"

    Ng'ombe hujua umuhimu wa mkia wake siku ukikatwa!
  6. D

    Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

    Labda kwa masahihisho kidogo ni kuwa Mh Selasini alikuwa anatokea Arusha kwenye Mazishi ya shemeji yake ambaye ni Padri Floridi Mahoo. Kwenye gari la Mbunge walikuwamo watu sita. 1.Mama mzazi wa Mh Mbunge - Amefariki 2. Mama mzazi wa Padre walioenda kumzika - amefariki 3.Shangazi wa mama wa...
Back
Top Bottom