Hii ni habari ya uchochezi hakuna hata mtu mmoja anaeidai serkal kwenye korosho haoambao hawajalipwa ni watu wanaotumiwa na mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi zimefungwa biashara za machinga sasa nikama zimeanza kutoweka nafikiri tunako elekea siko hivi kuna nini?
Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha
Polisi Tabora imetumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliofurika Shule ya Msingi Chemchem, wakidai watoto wawili wametekwa na watu wasiojulikana.
Tuache utani wa kijinga hebu mtu mmoja aeleze mambo ya maana aliyoyafanya,
Kwa sababu sasa hivi mfumo wa biashara hakuna kabisa
Hali ya kilimo ni mbaya
Wakati mwingine huwa nafikiria hotuba ya waziri mkuu wa israel unaweza ufikiri sawa,ijapokuwa si kweli mawazo yake,hivi sisi waafrika tuna akiri gani?
Hivi wema ananini cha ziada hata hatulali kila ukisoma huku wema sepetu ana nini? Hivi tuliambiwa wema alikamatwa na misokoto ya bangi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.