Search results

  1. V

    Nataka kufanya biashara ya Ream Papers, mtaji ni kiasi gani?

    Asante sana kwa ushauriii....ningefurahi kam ungeniunganisha na MTU mwenye uzoefu...kwa sasa nipo morogoro nawezashuka dar nkajifunza zaidii
  2. V

    Nataka kufanya biashara ya Ream Papers, mtaji ni kiasi gani?

    Nahitaj rims nyingi ila kwasasa nahitaj kidogo nijarbu bihashara zichanganya ntafanya kazi kubwa...nampango was kuhudumia stationary 5...zilizopo chuoni zinafanya kazi 24 ...7
  3. V

    Nataka kufanya biashara ya Ream Papers, mtaji ni kiasi gani?

    Asante naomba ushaurii tafadhalii
  4. V

    Nataka kufanya biashara ya Ream Papers, mtaji ni kiasi gani?

    Wadau natanguliza salam zangu kwenu...napenda kusaidiwa jinsi yakupata mzigo wa rim papers za A4 ambazo nitaweza kuziuza kwa jumla...kwa kuzisambaza katika mastationaries APA mjini...nipo morogoro..ningependa kujua kwa kuanza niwe na ntaji shilingi ngapi za kitanzania na mahali pakupata mzigo...
  5. V

    UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

    Shindwa na ulegee
  6. V

    Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    Mbona unatoka mapovuuu unazani watz niwajinga.... Umetumwa kuwatukana watz umepotea njia
  7. V

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Tupeni updates jamanii uku mikoani tunasikilizia upepoo
  8. V

    Ebu jaribu kusoma labda utajionea huruma na kuwahurumia wale wanaoteseka katika nchi hii ya Tanzania

    Inaumaaa sana na inatia haibu sana hasa wale walio lipwA kusafisha chama chakavu cha mafisadi
  9. V

    Lowassa ni Fisadi na atabaki kuwa fisadi

    Upo shallow sana tafuta points zenye masikio.
  10. V

    Wabunge 80 aliosema Lowassa wako wapi?

    Endelea kusubiriii
  11. V

    ITV Mnatutengenezea maigizo ya Lowasa

    Acha kupanik
Back
Top Bottom