Search results

  1. M

    Sheikh Alhad Mussa Salum(Dar) ashauri Viongozi wa dini kuacha siasa misikitini, kanisani

    HUYU SHEIKH WA MKOA WA DSM NAYE ANAFANYA NINI KATIKA MKUTANO WA CCM.MBONA HATOLEWI MATAMKO KWA SABABU ANASIFIA SERIKALI.
  2. M

    RC Mrisho Gambo asema makanisa ya Kakobe yachunguzwe, isije ikawa ni wakala wa Shetani!

    BWANA MRISHO GAMBO UMEZUNGUMZA UONGO MKUBWA MBELE ZA MUNGU. HIVI WEWE UNAMFAHAMU SHETANI AU UNAMSIKIA.KWA TAARIFA YAKO SHETANI ANAKUCHEKA MAANA YUKO NDANI YAKO BILA WEWE KUJUA.YEYE NI BABA WA UONGO NA MAAJENTI WAKE NI WAONGO PIA. NAFIKIRI HUJAWAHI KUINGIA KWENYE MAKANISA YA KAKOBE NDIO MAANA...
  3. M

    Kusema kwamba Rais Magufuli hashauriki wala hapendi kusemwa ni kumuonea tu mtumishi huyu wa watanzania

    Ndugu yangu Augustino Chiwinga.Inaonekana hujui maandiko. Neno la MUNGU halitafusiriwi kama mtu apendavyo.Neno la Mungu ni ROHO tena ni uzima.Ninyi mnahangaika wakati RAIS wetu anaponywa kwa neno hili. MTU anayekuambia njia nzuri ni hii ifuate huyo ni mtu mzuri sana.NI MUNGU tu ambaye hatendi...
  4. M

    Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Nashukuru kama na wewe mwana CCM mchumia TUMBO umegundua kuwa inahitajika kupelekwa mswada ili kurekebisha sheria. HONGERA KWA KULIFAHAMU HILO.
  5. M

    Kesho ndio mtashuhudia udhaifu mkubwa wa wahariri wetu na vyombo vya habari kwa ujumla

    Ndugu yangu Paskali.Habari ya KAKOBE haiandikiki kwenye GAZETI.Impact yake umeiona kwenye mitandao ya Kijamii.Hivi kile kipindi chako cha KITI MOTO KILIKWISHAJE.Hebu tukumbushe.
  6. M

    Kutoka Dodoma, Mrithi wa Kinana: Shigela, Pereira, Prof. Mkumbo na Dr. Bashiru Ally watajwa

    TETESI; LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA, HUENDA AKAWA DR. WILBROAD SILAA.TUSUBIRI
  7. M

    Mbowe, Zitto na wabunge wengine wa upinzani; pelekeni hoja bungeni ya kutaka mabadiliko ya sheria ya uchaguzi

    UKAWA wameamua kuwanyima ulaji wajanja kwa kisingizio cha kuandaa uchaguzi wa marudio.
  8. M

    UKAWA na CHAUMMA wasema hawatashiriki uchaguzi mdogo ujao hadi kasoro zilizojitokeza uchaguzi uliopita zitatuliwe

    WAZO LA UKAWA KUSUSIA UCHAGUZI KAMA DOSARI ZILIZOOONEKANA HAZITAREKEBISHWA LIMEKUJA KWA WAKATI MUAFAKA.VUGUVUGU LA KUDAI KATIBA MPYA NDIO LINAANZIA HAPO. KIPEPEO HAKITOKEI TU, LAZIMA KIWE NA MWANZO WAKE. KAMA WEWE UMEONA HAWAKUTOA UAMUZI SAHIHI KWANINI UNAPIGA KELELE WAKATI HALINA MADHARA...
  9. M

    Anthony Komu, (CHADEMA): Kususia uchaguzi si sahihi haya ni mapambano, kwenye vita unapopigana ukikosea unajisahihisha

    Kunguru Mjanja Hakuna cha maswali hapo. Uamuzi uliochukuliwa ni mzuri sana kwa mtu ambaye anaona mbali. Vyama hivi viko tayari kushiriki uchaguzi kama dosari zilizooneka zinarekebishwa. Kwa nini tume inakataa kurekebisha dosari hizo. Tume inafahamu kwamba uchaguzi ukifanyika kwa huru na hadi...
  10. M

    Chadema IMARA Chuma kinapita kwenye Tanuru la moto

    N NI KWELI KABISA CDM INAYOSUKWA ITAKUWA NI MOTO WA KUOTEA MBALI. ITAKUWA NI CDM AMBAYO ITAKUWA NI STRONG. HILO CCM WANALIJUA.NIMEGUNDUA ZAIDI YA WATANZANIA 6,000,000,000 CDM IPO NDANI YAO. WOTE WANAOHAMA WANAKWENDA KUTAFUTA UGALI BAADAYE WATARUDI KAMA WANACHAMA
  11. M

    Upinzani kuzoa viti vingi vya ubunge na udiwani 2020

    Kwa sasa vyama vya upinzani vinapita katika TANURU la MOTO katika kutengenezwa kushika dola 2020. Ushindi wa CDM kule Mbeya katikakati ya ngome ya CCM,CDM ilipata ushindi.Hapakuwa na vurugu yoyote ile na uchaguzi ulikuwa huru na wahaki. Tusipende kulazimisha vitu.Watu waachiwe kuchagua kile...
  12. M

    CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

    HIVI OLE MILLYA BADO YUKO CHADEMA MAANA SIJAMSIKIA SIKU NYINGI
  13. M

    Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Ndugu zangu wana CDM.Makapi lazima ya pepetwe ili ibaki NGANO.Wakati wowote Shetani na Maajenti wake hajawahi kushinda.
  14. M

    Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Mbunge wa Arumeru Magharibi ni nani na Mbunge wa Simanjro ni nani
  15. M

    :raisi john pombe magufuli okoa fedha kwa kutokuteua wabunge

    Hebu tujadiliane kuhusu nafasi za ubunge ambazo raisi bado hajafanya uteuzi.nakumbuka zimebaki nafasi 9 za ubunge ambazo uteuzi wake bado.. Kama raisi hatafanya uteuzi wa wabunge hao atakuwa ameokoa kiasi gani cha fedha ambazo wangelipwa wabunge hao na kuzipeleka katika kuhudumia hospitali zetu...
  16. M

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    Ujio wa el waongeza majimbo ya ukawa kilaini
  17. M

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    Wana Jamii Forum nauona mwisho wa CCM ndio umefikia tamati.CCM hawakujua kuwa kila,chenye mwanzo kina mwisho wake.Kama,ambavyo JK amehitimisha bunge jana hivyohivyo anakwenda na chama chake.Ishara moja ya dhahiri ni,hii ukimpitisha Lowasa chama kinagawanyika.Usipompitisha vilevile...
Back
Top Bottom