Search results

  1. N

    Naomba ushauri biashara ya kuanza nayo

    Ts kuanzia laki 5 kuendeleaaa
  2. N

    Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

    Kumbuka alikulisha na kukuhudumia ulipolazwa..usihesabu mabaya hesabu na mazuri...fikiria pia kama Mungu angekua hasamehi wanadamu makosa yao
  3. N

    Naomba ushauri biashara ya kuanza nayo

    Nunua belo la mitumba then uza retail
  4. N

    Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

    Mshenz Wa tabia huyo watu hatuna ata baiskeli apa ye anakataa vitz...ngederee
  5. N

    Maziwa ya mama huanza kutoka Lini baada ya Kujifungua?

    Atakua sawa tu msijali...bila kusahau huyo mama ale vtu vya maji maji sana...vimiminika namaanisha...ninamuweka kwnye maombi pia...Mungu atamsaidia msijali
  6. N

    Maziwa ya mama huanza kutoka Lini baada ya Kujifungua?

    Mpeni huyo mama uji wenye pilipili manga lakin pia muomben Mungu amfanyie wepesi
Back
Top Bottom