Search results

  1. maonomakuu

    Ushauri wangu kwa gazeti la Mawio

    Kwanza nawapa pongezi sana kwa kushinda keshi na hatimaye kurejea kwenye medali ya habari. Sasa tunaomba kuona habari nyingi za UCHAMBUZI wa Kisiasa, kiuchumi na mambo yote ya jamii. Hatutaki habari za udaku tena na nasema yatosha. Lifanyeni gazeti lenu lipendwa zaidi na wasomi kwa kuandika...
  2. maonomakuu

    Prof. Lipumba awaenzi wahanga wa maandamano ya Pemba, asema CUF imerudi nyuma kisiasa

    Akiongea mchana huu kwa taarifa uliyorushwa na kituo cha Azam TV kuwa hajui sababu hasa ya mgogoro huo. ===== Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba, leo ameadhimisha kumbukumbu ya wahanga wa maandamano ya amani...
  3. maonomakuu

    Bunge kazi yake ni kupitisha sheria au kutunga sheria?

    Leo nina miaka mingi kufuatilia bunge letu tukufu, ila kinachonishangaza ni pale kila serikali ikipitisha muswada bungeni basi bunge kazi yake ni kuibariki na kupitisha, sasa najiuliza 1.Kila mswada unaopelekwa bungeni ni kuwa serikali haikosei kuuandaa? 2.Je kuna muswada uliowahi kukataliwa...
  4. maonomakuu

    Nawaza tu:Leo tunamsifia, Kesho tutamwona hatufai

    Wakuu kila mtu na zama zake bana Mwinyi alipomaliza muda wake alisemwa vibaya sana kwamba kaharibu uchumi na kuleta ubepari. Mkapa alipomaliza alitukanwa sana kwa ufisadi mbalimbali mfano kufanya biashara na mkewe ikulu na ubinafsishaji wa mashirika ya umma. Alisemwa vibaya kana kwamba hakuna...
  5. maonomakuu

    Magufuli:Boresha maslahi ya watumishi wa umma ili waache visingizio

    Rais Magufuli Tafadhali boresha maslahi ya watumishi wa umma ili kuondoa visingizio mbalimbali,hii itakusaidia sana utendaji kazi kuimarika.Leo mtu mwenye shahada anapata laki saba kama gross wakati wengine wanapata zaidi ya milion 35. Pia ondoa tofauti ya mishahara kwa watumishi wa umma maana...
  6. maonomakuu

    Kauli ya Magufuli, Kamishna wa bajeti na Gazeti la mawio zina utata

    Baada ya Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza wizara ya fedha siku iliyofuata gazeti la mawio likaandika kuwa hazina hamna hela hata ya kuendesha nchi siku 20,baadae kamishna wa bajeti kakanusha kuwa ni uwongo maana gazeti likaonekana limesema uwongo. Siku ya mwaka wa Mahakama Magufuli kasema...
  7. maonomakuu

    Ni wakati wa walioitwa ni majipu kuwaambia ukweli Watanzania nini kiliwasibu wakaacha maadili

    Nawasihi sana wote mlioitwa majibu bila kujali nani alikushauri ufanye hivyo na hatimaye kuitwa majipu tutoke hadharani tupaze sauti kuiokoa nchi yetu na kumsaidia rais wetu ili ajue shida ni nini. Binafsi naimani kuna mtu mkubwa nyuma ya aliyeitwa jipu, mfano halisi ni huyu aliyemtumia SMS...
  8. maonomakuu

    Lowassa anaishi kama rais nje ya Ikulu

    Nyota ya huyu mtu kila mtu ataitamani, hata Lizaboni kila akilala anatamani ndiyo maana kila kukicha yeye anaandika tu habari za huyu jamaa kutafuta nyota yake.
  9. maonomakuu

    Nape ni mfia chama tu, kuwa kiongozi wa serikali hana sifa

    Mheshimiwa rais Nape ni aina ya watu ambao ni wafia chama yaani kuwa kiongozi wa serikali hana chembe ya sifa hata kidogo. Raha ya Nape ni kuhakikisha chama kinatetewa hata penye masihara ataongea tu maana siyo kauli ya mwisho, serikalini atakachotamka kinatafsiriwa kwa mlengo wa kauli za...
  10. maonomakuu

    Kweli Magufuli aliubariki uamuzi wa Nape?

    Nimewaza na kutafakari kwa kina kuwa Magufuli kama mwenyekiti wa baraza la mawaziri alikubali wazo la NAPE na kulibariki kuwa ni nzuri.Katibu mkuu kiongozi ambaye ni katibu wa baraza la mawaziri naye kanyoosha mkono juu akisema ndiyo mikutano ionyeshwe muhimu tu? Bajeti ya TBC 2015/2016...
  11. maonomakuu

    Vita kati ya serikali ya Magufuli na watumishi wa umma

    Vita kati ya serikali ya Magufuli na watumishi wa umma ni vita vikali sana ambayo binafsi nayaunga mkono kama yanazingatia sheria za Utumishi wa umma.Serikali inawaaminisha wananchi kwa nguvu zote kuwa tuko hapa kwa sababu ya watumishi wa umma wasio kuwa waaminifu, sina shaka na hili ni kweli...
  12. maonomakuu

    Nitamkubali Magufuli akifanya haya

    1.Akipeleka bungeni mikataba yote yaliyofanywa kwa siri hasa wa madini na Gesi 2.Akirejesha katiba ya wananchi hhasa ya Warioba 3.Akijiondolea kinga yeye mwenyewe maana hakuna haja ya kuwawekea sheria wengine wewe usiwekewe 5.Akimaliza changamoto za muungano maana mimi naamini huu muungano...
  13. maonomakuu

    Balaa jingine lamkumba mjumbe wa bodi TPA

    Makamu mkuu wa UDSM, Professa Rwekaza Mkandara aliyethibitisha kuenguliwa kwa Donata Mgassa Dar es Salaam Siku chache baada ya Rais John Magufuli kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) kwa tuhuma za kushindwa kusimamia ipasayo shughuli za taasisi hiyo, mmoja wa wajumbe...
  14. maonomakuu

    Kikwete aliwahi sema waliochukua hela za EPPA warudishe, Magufuli waliokwepa kodi ya

    Hakuna jipya kama mtu kakwepa kodi leo anaambiwa arudishe bila uwajibikaji ni wananchi kudanganywa.Watu wengi hasa wapenzi wa CCM wanadai hela zirudishwe hatuna haja na wakwepaji, this is shame. Waibe kwa siri alafu warudishe kwa siri tuna uhakika gani? Uwajibikaji ni muhimu sana siyo kuwaficha...
  15. maonomakuu

    Tutafakari kwa pamoja kuhusu uchaguzi wa Zanzibar uliofutwa na ZEC

    Ndugu wana Jf poleni kwa majukumu. Mtafaruku mkubwa huko Zanzibar uliosababishwa na mwenyekiti wa ZEC kufuta uchaguzi huenda ukaingia katika sura mpya pale ambapo serikali itatangaza rasmi kuufuta uchaguzi huo.Hii inatokana na katiba ya nchi kuvunjwa na dalili ya muungano kuwa hatarini...
  16. maonomakuu

    NEC kutokujiridhisha kwa pingamizi la Lowassa kuhusu matokeo

    Hivi shida kubwa ilikuwa nini mpaka tume wasiisikilize pingamizi la Lowassa kuhusu matokeo yanayotangazwa? Kwa nini kabla ya kutangaza mshindi tume ikajiridhisha na ushahidi wa Lowassa kuwa matokeo yanatofautiana na wanayoyapokea kwa mawakala wao? Sasa waliomchagua Lowassa wataamini vipi kuwa...
  17. maonomakuu

    Mtazamo: Bunge la 11 kuibua upya Richmond,Escrow,Uuzaji wa nyumba za serikali,Hisa zilizouzwa...

    Kila nikitafakari mbeleni naona giza nene kwa bunge la 11 kuendelea kuibua mambo mapya na kuendelea kujadili uovu wa serikali hasa kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete hatimaye kumwangukia Magufuli. Kuna giza nene katika uongozi wa Magufuli na hili litafanya aongoze serikali katika wakati mgumu...
  18. maonomakuu

    Star TV na TBC kazi ya CCM mmemaliza kwa uaminifu ila matokeo muwe makini

    Star TV na TBC mlitumika sana na CCM kwa takribani siku 64 mkiwaaminisha Wananchi mgombea ni mmoja tu wa CCM na habari za upinzani mlionyesha zaidi zenye upande wa hasi mara nyingi. Haikutosha mwandishi wa gazeti la Mwananchi mlimtimua alipoandika habari zenye ukweli ila hasi kwa CCM...
  19. maonomakuu

    JK akumbushwa kutangaza mali alizochuma kabla ya kung'atuka

    Mkurugenzi wa Idara ya Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amemkumbusha Rais Jakaya Kikwete, asiondoke kimyakimya bila kutangaza au kuorodhesha mali alizochuma wakati akiwa madarakani. “Rais Kikwete alijaza fomu ya mali alizokuwa nazo...
  20. maonomakuu

    Ukawa fanyeni hivi ili kura zenu ziwe salama

    Ukawa nawashauri mzungumze na Viongozi wa vyama vingine vya upinzani kulindiana kura wakati wa upigaji na uhesabuji wa kura. Pia kwa wagombea wa urais hasa ACT,CHAUMA,TLP.... ambao hawana uwezo wa kuweka mawakala wao basi CHADEMA tumieni fursa hiyo kuwaweka hao mawaka kama wanachama wa vyama...
Back
Top Bottom