Search results

  1. Bigboot

    Watangazaji wa kike wa RFA mnanichanganya

    Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia? Yani hawa kina dada huwa nashindwa kuwatofautisha yan, sauti ni zilezile kabisa, sijui wanaigana au ni mimi ndo nashindwa kuwatofautisha, hasa hawa, Felister kulujila, Neema ndeto, Beatrice Rabachi, Mwaipungu. Glory Robinson ni rahisi kumtofautisha ila hao...
  2. Bigboot

    GK na Ne-yo mbona huwa hawavui kofia?

    Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona wametoa kofia vichwani mwao, ni style kuna kasoro au shida nini? Mzee Mrema pia.
  3. Bigboot

    Obama na wafanyabiashara na wajasiriamali

    Kwema wakuu, samahani aisee, nilitaka kujua ni kwa nini Obama moja ya vitu vilivyomleta Kenya ni kuzungumza na wafanyabiashara, wawekezaji na wajasiriamali? Nadhani hata hapa kwetu Tanzania alifanya hivyo, kwa nini hili kundi na isiwe makundi mengine?
Back
Top Bottom