Huu mgogoro japo unakataliwa kuwa haupo kiasi hicho ila ni kitu ambacho kitaleta matatizo makubwa hatakama sio leo kisipo tatuliwa mapema, tuchukue mfano wa Ethiopia na Eritrea kwenye mgogoro wa mpaka unazua vita mara kwa mara.
Nakubaliana nanyi Uyanga na Usimba ndo watupeleka kubaya kisoka, lakini nadhani suala la udhamini wa timu ni mbinu za uongozi wa club husika, mdhamini wa ligi ndo analazimika kuhusika na timu zote zinazoshiriki ligi husika, na ndivyo ilivyo Dunia nzima.
Yaani acha tu ndugu yangu, kibaraka mmoja anayejidai anatumia sana busara katika kujibu hoja, lakini wapii, anajiaibisha tu kwa kauli zake za kizandiki, kutoka katika kichwa chenye upeo finyu!
Kweli Tuu shamba la bibi a.k.a kichwa cha mwenda wazimu, yote haya yanaendelea nabado tuna zidi kutia juhudi katika kukunjia mkia tumboni kwa kutishwa na ndugu zetu tunao endelea kuteseka nao 'Polisi'. Bila kijitambua bado tuna safari ndefu mno!
Kama yote haya unayafahamu kwanini wewe usitekeleze ukijuacho? Hapa kwenyewe unaonyesha mapungufu yako unafanya unachokikosoa, na zaidi ya haya sehemu hii ndio mahala sahihi kwa mambo ya namna hii! Usifanye kila jambo ni siasa!
Kama unafahamu au umewahi mwona anavyo nyemelea, anavyo jipinda, anavyo simamia kucha achilia mbali wasiwasi alionao! lakini haachi! hivii, chabo, inaraha au karaha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.