Search results

  1. M

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Very well said, thank you sir
  2. M

    Japo ni Dakitari, na Mwanasiasa Mzuri, Dr. Kigwangalla Ni Mweupe Masuala ya Katiba

    Kwa kweli hata mimi naungana nawe ndugu yangu. Nimejisikia aibu sana alipokuwa anadhihirisha upumbavu wake lakini pia na kushangaa anawezaje mtu kama huyu kuwa mbumbumbu kiasi hicho. Hata kauli zake dhidi ya Mtikila ni za kijinga. Yeye anafikiri baraka ni amani tu, hafikirii mahali nchi ilipo...
  3. M

    Ukweli mchungu kwa JK na serikali yake kuhusu sherehe za Mapinduzi Zenji - By James Mbatia!

    Huu ni ushahidi mmoja kati ya mwingi uliopo kwamba wanaotetea serikali 2 ni wafuasi vipofu wa dhana hiyo kwa kweli. Hata muasisi wake Mwl Nyerere katika mazingira haya ya sasa ya SMZ na katiba yake iliyofanyiwa marekebisho 2010 yaliyoitoa Zanzibar kwenye Muungano asingeweza kuitetea serikali 2...
  4. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Msingi wa Muungano ni hati yake ya makubaliano. Kutokuwepo kwa hati hiyo kunaondoa kabisa uhalali wa serikali mbili kwa sababu mfumo huu unainyima nchi ya Tanganyika uwepo na utambulisho wake ambao kwa kuwa hakukuwa na makubaliano halali ya kuiua haina budi kurudi. Walioiua Tanganyika walifanya...
  5. M

    Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

    Kwa kweli ipo haja wananchi tukemee hii tabia ya tbc kufanya upuzi huu. Masuala mazito kama haya wanathubutu kukatisha matangazo eti kisa wameshikwa pabaya! Any way wandugu mlio na link ya Dodoma tujulilsheni alivyomalizia Lisu Please.
  6. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  7. M

    My friend Zitto Kabwe

    This is not only wise but also polite, and unbiased. Thank you dana.
  8. M

    Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Hiyo iko wazi kuwa ndugu hawa walijitungia tuhuma kukwepa ukweli. Hili kwa mwenye kufikiri linatosha kuonesha kuwa ama kwa hakika walipatikana pabaya ndiyo maana wakatafuta diversion kuficha uso kwa ajili ya haya. Kama wasingekuwa na hatia wasingeomba kujiuzulu. Hongera sana Cdm kwa ukomavu...
  9. M

    Kwa nini Zitto anautaka sana uenyekiti CHADEMA?

    Nakubaliana sana na wewe ndugu. Ila kinachonishangaza ni jinsi wengi wasiovyoweza kuona hili, na hasa la kutokuwa na busara ya kutosha kuwa mwenyekiti. Wanadhani mtu kuweza kujenga hoja pekee kunatosha. Lakini pia hata huku kutaka sana madaraka ni dalili mbaya. Wengine tuliona tangu mwanza kuwa...
  10. M

    Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Ndugu mleta hoja, hii ni moja ya hoja zinazonipa kushangaa jinsi baadhi ya wenzetu mnavyo-react kwa mambo ya msingi na kusema haraka-haraka maneno makubwa bila kufikiri vya kutosha na kufanya uchambuzi wa jambo husika kwa makini. Hivi alichosema Mtei ni kipi cha kutosha kumlinganisha na...
  11. M

    Mbowe amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Ulianza vizuri sana lakini mwisho wa hoja yako umejidhihirisha kuwa una fikra potofu juu ya Mh Mbowe. Pengine nia yako ni njema lakini umekosea kudhani kuwa mabadiliko ya uongozi yanatokea ili mradi tu ionekane kuwa watu wanapokezana madaraka. Uongozi ni vyema ubadilike kwa misingi ya...
  12. M

    Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Mzee Mtei anajua anachosema. Kujenga chama imara ni pamoja na kuwakomalia wanaokisaliti hata kama watu hao ni maarufu kiasi gani. Kilichoua ccm ni kuoneana haya inapofika kwa vigogo wenye majina. Mtu anayekaa kwenye chama kama kirusi ni hatari. Ni lazima "antivirus" ya chama ifanye kazi yake...
  13. M

    Taarifa za Chama toka NAPE kuhusu Mlipuko: KAULI ya KIKWETE hukusu shambulizi la BOMU Arusha

    Ushauri ulioutoa kwa Nape ni wa muhimu kusikilizwa na wenzake wote walio na mawazo kama yeye. Kwa kweli mimi nilitarajia Nape awape pole wafiwa na majeruhi bila kuwasahau CHADEMA waliopigwa bomu kwenye mkutano wao, na sio kuwatupia lawama zisizo na msingi katika kipindi hiki cha majonzi. Huu sio...
  14. M

    'Je tutafika' Kipindi cha TV: USA wanahusika na mabomu ya Arusha

    Mimi nadhani kuwatwisha zigo kubwa USA kwa kuhisi tu ni kuwaonea sana. Pia ni kushoofisha juhudi za kupata ukweli wa mambo. Linapotukia jambo kama hili ni vyema kuwa objective katika kutafuta tatizo badala ya kukisia tu. Hivi kweli wanaosema tatizo ni USA hawazisikii DVD CDza uchochezi wa...
  15. M

    CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    Kama cdm kikipuuza swala la kuwa na TV na Radio kitafanya kosa litakalokigharimu sana baadaye. Kujiweka kwenye mercy ya vyombo vingine vya habari badala ya kuwa na byako katika mazingira haya ya ushindani mkubwa namna hii ni hatari sana.
  16. M

    Lowassa kachezeshewa "chekundu cheusi"?

    This was well said mwanakijiji, thank you. I think Lowasa's camp will retreat and rethink, plan anew on throwing the last card. The question is; will they make it? will they be able to out-compete with JK's machinery?
  17. M

    Waraka maalumu kwa wana CHADEMA

    Asante sana mkuu kwa kufunua pazia la hali halisi ilivyo. Binafsi nakubaliana na wewe 100% Kama Chama kikizingatia swala la kujitengenezea mtandao nchi nzima na kuwajenga viongozi wapya wengi kila kitongoji, kijiji, kata, wilaya, mikoa, na taifa hapana shaka tutafanikiwa kuyaivisha mabadiliko...
  18. M

    CHADEMA yasambaza PikiPiki nchi nzima

    Hii nzuri sana, but do it quickly wengi vijijini bado uelewa hautoshi. Uchaguzi mdogo wa madiwani wiki chache zilizopita unadhihirisha hilo.
  19. M

    Lowassa kujikunyata Mkutanoni Siku nzima ni Dalili Makombora yanamlenga?

    Hii "kuna mtu anayekichafua chama" ni kauli ya woga. Hiki ni kikao halali, kama kiongozi anajua kwamba kuna mtu anayekichafua chama kwa nini asimtaje mtu huyo na kuweka mambo yake mezani ashugulikiwe kikaoni? Hotuba za kujionesha kama kiongozi mkali wakati in fact ni more than dhaifu...
Back
Top Bottom