Jamani mtu anaweza kufanya mapenzi na mwanamke mwenye UKIMWI kama mara tano asipate?Baada ya kugundua mwanamke kaathirika alienda kupima ila alikutwa negative?
Pia nauliza tena kuambukizwa kisonono kwa mwanamme ni rahisi kuliko ukimwi? Na je mwenye group la damu O Negative hawezi kuambukizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.