VIDONGE KWA WANAOSUMBULIWA NA KISUKARI PAMOJA NA MWILI KUFA GANZI
Uyoga umekuwa ukitumiwa kwa miaka takribani 200 iliyopita katika kutibu magonjwa mbalimbali ya mwanadamu.
Watu wengi hawaupendi na hawatumii uyoga mara kwa mara.
Ndiyo maana tunazidi kushuhudia magonjwa ya ajabu ambayo...
KUKOSA USINGIZI(INSOMNIA)
Hii ni hali inayodumu kwa muda ambapo mtu hushindwa kupata usingizi au kuwa na usingizi wa mang'amung'amu.
Kwa kawaida mtu mzima anatakiwa kupata usingizi kati ya masaa 7-8 wakati wa usiku.
Tatizo hili huenda sambamba na kutokuwepo kwa ufanisi wa tezi iitwayo pineal...
Afya ni hazina kubwa katika nyanja zote muhimu.
Napenda tujadili afya huku tukilenga matatizo yanayomkumba kila mtu na kuyapatia ufumbuzi.
Karibuni kwa maswali.
Mmea wa aloe vera unajulikana sana ulimwenguni kutokana na kazi zake katika mwili wa binadamu.
Zifuatazo ni baadhi ya kazi zake
1.Hutumika katika kuifanya ngozi kuwa nyororo na ang'anyu ndiyo maana hutumiws sana katika vipodozi.
2.Hukinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua, hivyo huzuia...
Kama tatizo lako bado lipo, tumia dawa itokanayo na mmea wa ginkgo, kwani hutibu matatizo yatokanayo na mzunguko wa damu ikiwemo shinikizo la juu la damu, hypertension.
Ina vidonge 96, fanya mpango uipate. au wasiliana nami.
Tatizo lako bado ni changa laweza kutibika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.