Search results

  1. G

    Maafisa Fake wa TRA wakamatwa Mombo

    Wanaume wawili wakiwa na gari aina ya Prado wakamatwa huko Mombo wilaya ya Korogwe mkoa wa Tanga ,katika jaribio la kumtapeli mfanyabiashara kwa jina maarufu Sheshe ,wakijifanya ni maafisa wa TRA. Matapeli hao wanaoishi Tanga mjini mmoja anafahamika kwajina la Erastho Eliud akiwa na mwenzake...
  2. G

    Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

    Umeenda Kenya ipi wasiomjua Lowasa ama CDM Acha urongo inategemea wewe umefika wapi unategemea mtu wa Turkana ajue siasa za Tz?
  3. G

    Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

    Kenya wametuzidi kiuchumi .kidemocrac ki Elimu, hivyo ni rahisi kujua habari zao kuliko wao kujua habari zeta, sisi tunaijua America lakini wa America hawajui hata Tz iko bara gani
  4. G

    Kwanini wabunge hawakushirikiana walipofukuzwa wanafunzi wa St. Joseph ila kwa wa UDOM wapo pamoja?

    Wanafunzi St Joseph ni waliopata dv 4 ya pt 33 na walikua wanachukua degree hawa wa Udom ni form 4 walio faulu vizuri na walikua na sifa ya kwenda form v serekali ndio iliwashawishi kwenda Udom kusoma certificate pamoja na diploma ili kuziba pengo la walimu wa since
  5. G

    Fatma Karume nyani haoni kundule, kaa kimya

    Tumaini wewe ni kilaza wala hujui unacho ongea Amani karume alichaguliwa kwenye uchaguzi halali na wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya znz Sheni amewekwa na jeshi kwa uchaguzi batili
  6. G

    Diwani mombo aongoza vurugu

    Halima Musa diwani kilaza wa kata ya mombo
  7. G

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    nani anajua hiki kilimo cha kutumia makopo
  8. G

    Polisi Mombo wamekithiri Kwa rushwa

    Wiki hii kidogo police wa kituo cha Mombo wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga kidogo watoane roho, Picha iko hivi, kuna polisi anaitwa Ernest (Mhutu) alipewa rushwa getini Askari Muhd akaona akataka mgao mgogoro ukaanzia hapo. Mambo yalivyozidi Mhutu akawasha gari lake kwenda kumgonga Muhd bahati...
  9. G

    Aibu: Shyrose Bhanji azua tafrani ziara ya EALA

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/746392-aibu-shyrose-bhanji-azua-tafrani-ziara-ya-eala.html
  10. G

    Aibu: Shyrose Bhanji azua tafrani ziara ya EALA

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/746392-aibu-shyrose-bhanji-azua-tafrani-ziara-ya-eala.html
  11. G

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

    Samweli Sita leo anaongozq bunge la Katiba kubadili kanuni za bunge ili hata kama mjumbe yuko nje ya nchi apige kura hii maana yake ni kwamba si lazima mjumbe ahudhurie vikao vya bunge anaweza kukaa nyumbani ana tuma sms ,
  12. G

    Wizi Mpya Waibuka

    Epuka matapeli, Kuna aina fulani ya wizi wakutumia simu una rindima hapa nchini. Mtu ana kupigia simu akijidai ana kufahamu ana kupa dili ya biashara yenye faida kubwa ambayo ita kufanya uingiwe na tamaa mwisho wa siku una ibiwa wewe, hivyo epuka mtu usiemjua kufanya nae biashara yoyote kwa...
  13. G

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Huyo Hemedi Horohoro alishawahi kukamatwa Mbeya kwenye ile kesi ya mdawa ya kulevyia wakimkamua Maiti porini marehemu alifia Zambia akiwa na dawa tumboni,hadi leo haijulikani kesi ili ishia wapi, Iddi Azani anajulikana ni mzee wa mapouda,
  14. G

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Huyo Hemedi Horohoro alishawahi kukamatwa Mbeya kwenye ile kesi ya mdawa ya kulevyia wakimkamua Maiti porini marehemu alifia Zambia akiwa na dawa tumboni,hadi leo haijulikani kesi ili ishia wapi, Iddi Azani anajulikana ni mzee wa mapouda,
  15. G

    CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

    Clouds ni wakala wa Ccm hiyo haina ubishi
  16. G

    Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

    Siuondoke?una ng'ang'ania nini mahali hamkubaliani kimtazamo?Shibuda alivyo chukizwa na mambo ndani ya Ccm alijiondoa taratibu na kuhamia Cdm wewe unangoja nini ama hujatimiza agenda zako ulizotumwa na unao watumikia? Wewe hukuwa na uwezo wa kupata kura 32000 unazo jivunia mbozi ulibebwa na...
  17. G

    Wahasibu halimashauri korogwe wakamatwa kwa wizi

    Kuna habari zime zagaa kuwa wahasibu wa halimashauri wa wilaya ya korogwe wana shikiliwa na police baada ya njama za kuiba tsh 78 million za halimashauri kugonga mwamba, Mwenye taarifa sahihi atujuze
Back
Top Bottom