Search results

  1. M

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Tayari Kichwa yako INA shida Acha kuiongezea shida, utanishukuru baadae.
  2. M

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Ukiwa na mawazo usitafute mawazo.
  3. M

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Ndio furaha Yao. Ndio maana Hadi wananunua magoli. ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
  4. M

    Inonga anaondoka Simba mwishoni wa msimu huu 2024

    Halogwi wala nini Simba wanajua kuachwa. Hakuna atakaemshobokea ili baadae ije kuwa bifu. Afuate utaratibu aende.
  5. M

    Yanga wanaizungumzia Yanga, Simba wanaizungumzia Yanga

    Mfano nyuzi zako zote huwa unaizungumzia timu gani?๐Ÿ™„๐Ÿ™„
  6. M

    Nini kifanyike kuinusuru hii Simba?

    Watu walienda kutafuta rizki.
  7. M

    Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

    Hasa vijana. Asubuhi hii saa 3 tayari mabishano yameshashamiri vijiweni timu ya Nani mbovu ya Nani nzuri. Serikali ndio maana inawekeza kwenye mpira kuwachota vijana wajinga.
  8. M

    Ahmed Ally acha propaganda haisaidii, uwe na aibu hata kidogo

    Eti wao hawajafungwa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
  9. M

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Tumehama kwenye goli letu tuliloporwa SASA Yuko na na Azam na Mayele. Tukimaliza tunaenda kuchochea Simba ' Hatumtaki Mangungu'. Yuko busy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  10. M

    Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

    Bado Akina Aziz na wenzie. Hii sio timu ya kuchezea ukiondoka wanakumaliza. Tunakoelekea wageni wataogopa kwenda. Anachokifanya Mayele ni kuwatahadharisha wachezaji WA nje. ' Jisajili Yanga at your own risk'.
  11. M

    Haya ndiyo mafanikio ya wasemaji kati ya Ali kamwe na Ahmed ally

    Nimeona magari yanasombwa. Huko niliko tunalala kimachale. Mvua ikianza lazima uwe macho. Timu imefika robo fainali halafu inaitwa mbovu. Imemaintain miaka mitatu mfulilizo japo haijapanda lakini haijashuka. Hawa shabiki WA Yanga nikuwaignore Tu. Refa alietuheshimisha SA kapangwa kwenye mechi...
  12. M

    Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    Zilikuwa zinaanzishwa nyuzi' Leo katetema'. Shobo. Nzi WA kijani Wana shobo balaa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
  13. M

    Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  14. M

    Haya ndiyo mafanikio ya wasemaji kati ya Ali kamwe na Ahmed ally

    Wanadai wao hawakutolewa Ila Simba ndio katolewa. Kuna kocha aliwahi Kuwaita manyani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  15. M

    Mayele anatumika kimkakati

    Wanadai Simba mbovu halafu wanahangaika nayo. Ndio maana kuna mchambuzi hivi karibuni amedai mashabiki wengi ni hohe hahe wanahamishia ugumu WA Maisha kwenye mpira. Siku baada ya mechi ya Simba au Yanga kuna watu wanaamka asubuhi kwenda vijiweni kubishana. Wiki ilipita walikuwa wanadai goli Lao...
  16. M

    Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Cha kushangaza eti Ahmed Ally akiongea nongwa Ila Ally Kamwe akibwabwaja ndio Sawa. Kwa wenye akili ule wote ni UJINGA na MWANZILISHI ni Manara. Tunakoelea watafanyiwa mizengwe wala wasiwe wananusa huko juu.
  17. M

    Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Wangeandika FAO, WHO, SADEC, UNHCR, ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„. Ila Yanga kiboko wameitia jambajamba CAF siku tatu mfulilizo. Supu ya Jangwani hiyo. MAAGANO๐Ÿ™„๐Ÿ™„
  18. M

    Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Kwa tunakoelekea CAF watalirudisha goli la Yanga walikolipeleka ๐Ÿ˜๐Ÿ˜. Tunaenda siku ya tatu bado hawajasahau. Watakoma kuwaibia goli๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Back
Top Bottom