Search results

  1. Q

    Elections 2010 Sasa Najiunga Na Chama Cha Siasa Rasmi

    Karibuni sana wanaharakati,wapiganaji naomba muwe waalimu kwa wanachi hasa mikoa masikini kuliko(Iringa(V),Dodoma,Singida ,Pwani,Morogoro,Lindi n.k Watu wanaona umasikini ni haki yao we need a great Change. Vijana amkeni. Ila nilisikitaka sana niliposikia Vijana wa UDOM wamechanga hela za...
  2. Q

    Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

    Nina wasiwasi na wewe tene nahisi ni Mwl kutoka UDOM. Hivi hujui kuwa slaa ni PHD holder,he has a lot to du kwa wananchi masikini na makini. Hivi hujui hata Dakta(Si jui ya nini) JK anamuogopa huyu jaamaa ni kwasababu hi always read btn the lines. We unaesema ataenada kanisani kuwa padri u must...
  3. Q

    Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

    Hujui tofauti ya PHD na Dakta. Ana mengi ya kuwafanyia wananchi na Atashinda kama hutaki kamuulize kikwete Msoga
  4. Q

    CCM imefanya vizuri mikoa yenye wengi wasio na Elimu, napongeza strategists wao

    Ulikuwa wapi wewe? ur a real great thinker.Angalia,Pwani, Iringa,Singida,Dodoma,Morogoro hii mikoa bwana watu wanauka umasikini ,mlo mmoja kwa siku elimu iko chini . Nawashangaa wabunge wao wanapita bila kupingwa,Kikwete anapita kwa zaidi ya asilimia 70. Labada watu wa mijini ndo wameanza...
Back
Top Bottom