Search results

  1. Victory 1

    Elections 2010 Huyu ndio Raisi wetu akiwa Ikulu

    Hivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli...
  2. Victory 1

    I am sorry mabinti wa kichagga

    Mmm wala siwamini sana. Mbona kila harusi tano tatu ni mabinti wa kichagga????? Mabinti wa kichaga wako juu my dear ndo maana mnahangaika sana kuwa nao, vinginevyo ......... :caked:
  3. Victory 1

    Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

    Huko kushinda kwa kishindo kwa asilimia 61.17 ni sawa na only 12% ukichukulia nchi ya watu millioni 42
  4. Victory 1

    Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

    Yaani nchi ya watu million 42, waliojiandikisha millioni 20 kisha wapige kura watu millioni 8, Hii ni aibu kubwa sana. Hata wote tungekuwa tumempa kura angekuwa hajafaa kuwa Rais kwani hao millioni 8 ni chini ya 20% ya watanzania wote. Sasa cheki hapo eti mtu anajiita Rais wa TZ
  5. Victory 1

    Elections 2010 Jamani tuyakumbuke yale ya "TANCREDO NEVES" wa Brazil miaka ileee

    Tancredo de Almeida Neves, SFO more commonly Tancredo Neves In 1984, he was one of the leaders of the Diretas Já movement that demanded direct elections for President of Brazil. Neves was the opposition candidate to succeed President João Baptista de Oliveira Figueiredo. During the Presidential...
  6. Victory 1

    Elections 2010 JK atoa kauli kuhusu uchaguzi 2010

    Haya si maneno matupu tu?
  7. Victory 1

    Elections 2010 Majibu ya NEC kwa waandishi wa habari

    Tulimsikia. Kwa hoyo unatakaje?? Alitusaidia nini?? katika yale ya msingi alijibu nini??
  8. Victory 1

    Elections 2010 NEC wakubali kuboronga Matokeo ya uchaguzi Source the Citizens, 5 nov 2010

    Hili amelikubali huku akijua fika jana alikuwa anatugombeza kama watu tusio na akili wala uelewa. Kumbe likiwekwa mojamoja mbele yao ndo wanakubali wamekosa siyo!!!
  9. Victory 1

    Elections 2010 Kumbe yule mnajimu anachungulia humu JF

    Tusipoteze muda wetu wa maana kujadili hayo ya giza bana.
  10. Victory 1

    Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi

    Asante sana Mwanakijiji kwa pendekezo lenye hekima na akili
  11. Victory 1

    Elections 2010 Kwa hili chadema hamtaeleweka

    Wewe si una macho lakini huoni na una masikio lakini husikii!!!!
  12. Victory 1

    Elections 2010 Lowasa sasa autaka Uspika

    Bunge linalokuja siyo lile EL alilozoea kulitishia. Achukue tu fomu atajuta kwani kina Lisu watamtoa kama mfano wa mafisadi wa nchi. Hana mvuto wala hatuitaji fisadi katika nafasi yoyote katika nchi yetu. Huyo wa kujichekesha bado hajajua joto ya jiwe iliyo mbele yake. Anaenda kwa mazoea tu!
  13. Victory 1

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Eti GeniusBrain???!!!! Kama angekuwa ameshidwa si tume ya uchaguzi ingekuwa imeshatangaza matokeo ya kura. Kwa vile ameshinda ndo maana kuna kigugumizi kikubwa na mbinu lukuki za kuharibu ukweli.
  14. Victory 1

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Mungu Yupo upande wetu, tusife moyo, tutashinda.
  15. Victory 1

    Elections 2010 NEC aibu, CCM aibu, Tanzania aibu!

    Uongo huishi kwa muda mfupi sana na mwisho wake ni aibu tu hata kama uongo huo ulifanya watu wajisikie vizuri au vibaya. Jinsi uongo unavyotawala katika uchaguzi na matokeo yake ndivyo hivyo hivyo nchi itaongozwa kwa uongo. Itakuwa ngumu kuiongoza nchi katika kweli, hivyo ni chain ya uongo tu...
  16. Victory 1

    Watanzania wenzangu nami najiunga nanyi

    Jamani Hodi!! Watanzania wenzangu wana JF nawashukuru kwa sababu nimejifunza kwenu mengi nikiwa siyo member na sasa nimelazimika kujiunga kwani ninaamini hapa ni mahali pa watu wenye akili na utashi mzuri kuhusu Tanzania yetu na safari hii ya kuleta mapinduzi ya kweli
Back
Top Bottom