Search results

  1. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Asante Lissu kwa kutuelewesha juu ya sakati hili: nami naongezea 'Yana mwisho haya' KULI uk. 199
  2. M

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA uwanja wa Ujenzi - Dodoma

    Ndugu Kijakazi, nimefurahishwa sana na maelezo yako kwa Dr. Slaa. Mimi kwangu lugha yangu ya kiswahili ni muhimu sana kuliko lugha nyingine yoyote hapa duniani, ninafahamu kiingereza na kijerumani vizuri sana, lakini lugha hizi nikizitamka bado hazikidhi furaha ya moyo wangu sababu ni kuwa...
  3. M

    Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

    Yana mwisho haya
  4. M

    CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    Inatia matumaini. Watu wamekusanyika kama mtu mmoja. Ukombozi unakaribia.
  5. M

    Decentralization in CHADEMA(Muundo wa Majimbo): A Positive Move

    Mafiya iko wapi? Au ndiyo imesahaulika kabisa
  6. M

    Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

    Jamani waislamu (wachomamakanisa) tusaidieni jamani tujue madai yenu ni yapi, tunahitaji kuyachambua na kuyajadili.
  7. M

    Si kweli? Watanzania wachambwa: Kiingereza, Wizi, Viongozi kujipendelea...

    Mimi kwa sasa naishi hapa Vienna Austria, kingereza wala sio issue hapa ni kijerumani, na hawa watu wanapenda lugha yao. Lugha ambayo ninaweza kujivuni mbele ya hawa watu ni Kiswahili tu na sio lugha nyingine, na mpaka sasa nimekwisha pata mwanafunzi mmoja ambaye anapenda kujifunza Kiswahili...
  8. M

    Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

    CCM ni lazima iondolewe madarakani na ni lazima ife, mambo haya yanatia hasira. Tutaona tu mbele ya safari maana nchi hii si yao peke yao ni yetu sote kila mmoja anahaki ya kuwa kiongozi, kila chama kina haki ya kuongoza nchi.
  9. M

    CCM wananunua shahada za kupigia kura

    Ndiyo maana daima nawaza kuwa ccm ni lazima iondoke madarakani na ni lazima ife, tusifanyane wajinga kwa upumbavu huu wa kukiuka sheria za nchi kwa makusudi ya kubakia madarakani wakati wananchi wamekwisha wakataa.
  10. M

    Barua ya wazi kwa mkurugenzi wa usalama wa taifa

    Pamoja na hasira tulizonazo, Ebu soma habari hii ucheke kidogo na mambo ya TZ yalivyofika mbali: Eti kuna mtu mmoja alikufa na kwasababu alikuwa na dhambi nyingi alifika moja kwa moja Jehanamu. Kufika kule akakuta kuna Jehanamu za nchi mbalimbali ambapo mtu unachagua ipi inamfaa kutumikia...
  11. M

    Barua ya wazi kwa mkurugenzi wa usalama wa taifa

    Mambo yalivyo ndani ya ccm kwa sasa, kwa yeyote yule anayeipenda nchi hii hawezi kamwe kukubali tena chama hiki kuendelea kuongoza nchi hii. CCM ni chama ambacho kwa sasa huwezi kukitenganisha na RUSHWA, UFISADI, UBINAFI, UZEMBE na UDINI. Haya yote yameondoa kabisa moyo wa uzalendo kuanzia kwa...
  12. M

    CCM haitaiacha ikulu kwa kura

    Nafikiri chama cha mapinduzi kitaondolewa kwa mapinduzi; hili linakuja
  13. M

    Baadhi ya vingozi kuanza kutowaamini madaktari Muhimbili, nini hatma yake?

    Waswahili husema, mtu ukiwa hujashikwa na haja huoni thamani ya choo, ni sawa pia na mtu ukiwa huna matatizo ya afya huoni maana ya Hospitali na thamani ya daktari. Hawa wote wanaokebehi madaktari ngoja waugue ndiyo watajua nini maana ya hospitali kuwa na vifaa vya kutibu na nini maana ya...
  14. M

    Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

    Kama si wao watuambie basi ni nani, au ni yule mkenya. Wasituchanganye hapa, nafuu wanyamaze kimya tu. Pumbavuuuuu
  15. M

    Paradox: Mgomo wa MDs unawadhuru Wangonjwa; Kufutia Usajili MDs kunasaidia wagonjwa!

    Yana mwisho haya (Shaff Adam Shaff; Kitabu 'KULI' Uk 199)
  16. M

    Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

    Habari hii haikunifurahisha sana, kwani CDM imeniangusha mno kwa kushindwa kuchukua viti vyote hii inaelekea bado tunakazi kubwa ya kufanya. Makamanda tusife moyo tuongeze bidii kwani hakuna sababu ya kutoa nafasi kwa CCM kupata hata kiti kimoja: Peoplessssssssssssssssssssssssssss...
  17. M

    Uamsho nini jamani?

    Nachelea kusema UISLAM USINGEKUWEPO, DUNIA INGEKUWA NA AMANI TELE.
  18. M

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    Ninaamini mpaka mwaka 2015 itakuwa ni chama pekee kinachoweza kuongaza nchi hii bila ubishi. Kasi wanayokwenda nayo inatia matumaini kwani ndiyo tumaini pekee lililobaki kwa sasa. CCM sio tumaini la wengi kwa sasa, labda kifanye maajabu kuweza kurudisha matumaini ya vijana na wasomi juu yake ama...
  19. M

    Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

    Ribosome hayo unayoyaona sasa yamechelewa sana yalitakiwa kuwepo miaka 10 au zaidi iliyopita. CCM haiwezi kujitetea kwa lolote kusababisha watanzania kuishi hivi walivyo sasa. Ubinafsi ndio umechelewesha haya yote, wizi na ufisadi ndio umechelewesha haya yote. Hakuna sababu ya sisi kuwa nchi...
  20. M

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    CCM imeanza kufikiri hivyo, basi hii ni dhahiri kuwa ccm haipo tena imebaki jina tu.
Back
Top Bottom